wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake Kiasili Wana "Allergy" na Wanaume Wafupi? Huu Ni Mtazamo Wangu Tu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi? Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni watu wema sana

    Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda. Unakuta mwanaume ana majukumu mengi, mara nyingine hata anawahudumia wanawake kadhaa kwa namna mbalimbali. Si kwamba kila kitu...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

    WANAUME WENGI WAKIKUCHOKA HUTAMANI UWA-CHEAT ILI WAKUFUMANIE KISHA WAKUFUKUZE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tena ukute ndio mama wa nyumbani, beki Tatu, huna kazi wala kipato. Kwenu mafukara. Aiseeh! Binti zangu. Mmekwisha. Kila siku nawaambia mnisikilize. Baadhi yenu wakaidi. Jitahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya daktari wa afya ya uzazi kwa wanaume , nasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Nahitaji daktari humu ndani niwasiliane nae naombeni msaada wenu tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

    According to the laws of attraction, we are what we think. Sio hapo tu, we subconsciously become who we believe to be so. Wengi tunaishi maisha tusiyo yataka kwasababu that's what we resist consciously but believe subconsciously. Maskini ni maskini kwa sababu anabelieve kuwa yeye ni maskini at...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sauti zenye "base" la kutetemesha wameishia wapi?

    Wakuu, Sauti nzito zimekuwa adimu sana. Yaani wakaka tunashare nao tu frequency za sauti. Akiongea George kama kaongea Zurie na vice versa is true. Mwanaume anakwambia kitu hata hakiingii saaana maana sauti haina authority. Ndio maana kutwa malalamiko kuwa hamsikilizwi. Hata kwenye movie za...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ukatili na kiburi kwa kusema mtoto akikua atanitafuta. Watibeli tunasema hatutakutafuta

    WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu kuwa wapo watoto ambao wanapatikana kama ajali. Mwanaume ametafuta kisichana wakaamua kufanya ufuska...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
  11. JamiiForums Tanzania Zijue sababu za wanaume kufa mapema kuliko wanawake

    NIMEONA HII HABARI BBC NASIKITAKA WANAUME TUNAPITIA MENGI SANA NIANXE KUTOA RIP WOTE WALIOIIUA LWA SABABU MBALI MBALI Dunia inaadhimisha Siku ya Afya leo ambapo kwa mujibu wa ripoti za Shirika la afya duniai inakadriwa kwamba karibu wanawake 300,000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume huu msemo wa kumwambia mwanamke "sitakuumiza kamwe" tunafeli sana

    Wanaume wengi wanadhani kumwambia mwanamke "Sitakuja kukuumiza" ni ishara ya upendo, ukomavu, na kumfanya ajisikie salama (safe and secure). Ukweli mchungu ni kwamba neno hili ndilo linalokuja kuwa kiboko cha kukuchapia wewe mwenyewe baadaye. Kisaikolojia, kauli hii inaleta madhara makubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,. Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza. Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba (...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa ambazo wanaume wametafutiwa wake na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zao, zinadumu zaidi ?

    Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
  15. JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef, kondoo) - zina zinki nyingi muhimu kwa uzalishaji wa mbegu za kiume Karanga na mbegu (hasa mbegu za...
  16. JamiiForums Tanzania Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

    Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie...
  17. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

    Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha vipo vitu vitano wanaume wengi tunavipenda, vitaje

    MUWE NA ASUBUHI NJEMA
  20. JamiiForums Tanzania Huu nao ni ukatili dhidi ya wanaume.

    Mmetuaminisha kuwa hakuna mapenzi bila pesa tumekubali tukaamua kuwekeza nguvu na muda kutafuta pesa. Unakuta mtu siku umeokota kibunda chako umesolve vipengele vyako bahati nzuri umebakiwa na kachenji kidogo unasema leo wacha ni enjoy maisha kichwani unawaza vitu viwili tu pombe na wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…