Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala
Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia
Wanawake wakali huwa wajifichi fichi,
Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa
Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala...