wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Eric Omondi: Msanii lazima asimame na Wananchi ni kioo cha jamii, Si busara Msanii kuongea kwa niaba ya Serikali

    Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa na Citizen TV Kenya, Septemba 30, 2026, Mchekeshaji maarufu kutoka Kenya, Erick Omondi, amesema Msanii au Influencer lazima asimame na wananchi kwani ni kioo cha jamii. Eric Omondi ameeleza kuwa viongozi wa kisiasa huja na kuondoka, lakini wasanii...
  2. R

    Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  3. N

    Wakuu nimezidiwa na wateja karibu ya wananchi 500k hadi nashindwa kuwamudu na nina wasiwasi wakiongezeka wataniliza na viatu

    wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
  4. Traxtion

    Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  5. W

    Tumechoka!! Wananchi Ol Kalou wavamia baa inayodaiwa kuuza pombe haramu, wamwaga pombe huku muuzaji akikimbia

    Video kutoka Ol Kalou, Kaunti ya Nyandarua, imeibua mjadala baada ya kundi la Wakazi kuvamia baa moja wakidai inauza pombe haramu. Katika video hiyo, wananchi wanaonekana kuingia katika eneo la baa, kuchukua na kuvunja baadhi ya chupa na makasha ya pombe, huku mwanamke anayedaiwa kuendesha...
  6. Wizara ya Ardhi

    Moshi yazindua Mfumo wa E-Ardhi huduma popote, Wananchi 890 wapimiwa ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndugu Godfrey Mnzava, amekabidhi hati 50 za ardhi kwa Wananchi wa Kijiji cha Koresa, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Mfumo wa Ardhi Kliniki Kidijitali, maarufu kama “E-Ardhi Huduma Popote.” Uzinduzi huo umeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa...
  7. O

    Kilio cha Wakazi wa Mathare 4A: Majitaka (Sewerage) yatatuumiza Wananchi hadi lini?

    Hali ya usafi na mazingira katika eneo la Mathare 4A, jijini Nairobi, imezua hofu miongoni mwa wakazi baada ya maji ya majitaka (sewage) kuvuja na kumwagika moja kwa moja karibu na mlango wa nyumba ya mkazi. Video inaonesha maji hayo machafu yakibubujika kutoka kwenye mfereji au bomba la...
  8. Wizara ya Ardhi

    Wananchi kibaha wapongeza mfumo wa e-Ardhi

    Kibaha, Pwani Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha na kuendelea kutumia mfumo wa kielektroniki wa e-Ardhi, unaorahisisha upatikanaji wa hati miliki za ardhi kwa muda mfupi. Kwa mara ya kwanza katika Halmashauri...
  9. O

    MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI MWANZA WAONDOLEWE

    MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI WAONDOLEWE Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi ameingia katika mgogoro na kashfa nzito na wananchi wake baada ya kuanza kueleza kuwa wananchi wanaoishi mlimani wanapaswa kuondolewa. Nzilanyingi amefikia hatua ya...
  10. K

    Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  11. figganigga

    Mifumo ya awamu ya sita imeparalyse, Fikria Usafiri umekwama, hakuna mabasi. Rais Samia wao kajificha

    Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu. Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe. Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia. Samia yupo zake...
  12. Parabolic

    Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
  13. Tlaatlaah

    Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  14. Wizara ya Ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma awahamasisha wananchi kushiriki Kliniki ya Ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi. Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki...
  15. Kaka yake shetani

    Madhara yake ni mfano tosha tu south afrika waliotengeneza makaburu wakati wakiwa madarakani kwa wananchi wake.

    Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine. Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka. Historia ya...
  16. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  17. THE FIRST BORN

    Cheo cha msemaji wa Jeshi la Wananchi [JWTZ] kishakoma au Msemaji yupo nje na Mkuu wa Majeshi?

    Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa. Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo. Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi? Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya...
  18. uhuruborn

    SASA TUKISEMA CCM NDIYO ILIUWA WANANCHI OCTOBER 29, TUNAKOSEA WAPI?

    Siku zinavyozidi kwenda wauwaji wa 29 Oktoba 2025 wanazidi kujilikana
  19. Wizara ya Ardhi

    Kliniki ya Ardhi Mbeya yahudumia wananchi 227, hati 57 zagawiwa

    Chunya, Mbeya Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi. Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
  20. A

    KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
Back
Top Bottom