This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Wakenya wameendelea kushuhudia visa vya majengo kuporomoka, hali inayozua maswali kuhusu usalama wa nyumba, ubora wa ujenzi na uwajibikaji wa taasisi zinazopaswa kusimamia sekta ya ujenzi nchini.
Tukio la hivi punde limetokea Ijumaa, Novemba 13, 2026, ambapo jengo la ghorofa nane lililokuwa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini.
Masauni amesema kuwa biashara...
Wakuu,
Kuna jambo ambalo limekuwa likileta tafakuri nyingi kuhusu baadhi ya kauli za kiuchumi zinazotolewa na David Kafulila.
Baadhi ya kauli hizo ambazo zinzweza kuzua mijadala ni kama zifuatazo
1. DIRA 2050 – Uchumi wa dola trilioni moja.
Kafulila amekuwa akihamasisha kwamba Tanzania...
Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue
Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike
▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni
▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
▪ Ataka walimu wawili waliojitolea kwa zaidi ya miaka mitano waajiriwe kutokana na mchango wao katika ufaulu
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya Sungusungu kutowatenga wananchi wala kuwalazimisha kushiriki taratibu zinazokinzana na imani zao, akionya kuwa vitendo hivyo...
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mamba A, Kata ya Mamba wilayani Chunya mkoani Mbeya, wameeleza hofu yao kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya vijana wa Sungusungu, ambao wanatuhumiwa kuwashambulia wananchi kwa fimbo na kuwasababishia majeraha kwa kisingizio cha kuwahoji kuhusu...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewasisitiza wananchi kote nchini kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kukata bima ya afya ili kujipunguzia mzigo wa gharama kubwa za matibabu ambazo zimekuwa zikiwaelemea wananchi wengi pale wanapougua ghafla bila kuwa na uwezo wa kifedha.
Agizo hilo...
𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔
Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake.
Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
picha
unaowajibika
uongozi
wake
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
𝗧𝗲𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮
Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana
Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
Wanaukumbi.
Rais wa Israel Isaac Herzog amesema amempa kiongozi wa upinzani, Gadi Eisenkot, jukumu la kuunda serikali mpya baada ya uchaguzi wa wiki iliyopita kutotoa mshindi wa wazi.
Matokeo ya uchaguzi yaliiacha kambi ya Eisenkot na ile ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu bila idadi ya kutosha...
Sijui ni umbumbu wangu wa kutojua sheria ama ni mtazamo wangu? .
Nionavyo mimi wanasiasa wanasikilizwa sana kuliko wananchi , mfano tumeona kesi ya Lissu inaonesha mashirika mbalimbali yamekuwa yakiifuatlia utasema huko gerezani nchinin Tanzania mfungwa ni mmoja peke yake?
Pia kuna wananchi na...
Yaani mioyo ya wananchi watanzania ilisubiri miezi sita kupata ghazabu na kuchochewa kisha kukinukisha baada ya miezi sita?
Kwa nini hawakukinukusha on the spot. Maana uchochezi ni suala la kuchochea mioyo ya watu na kupata hasira na chuki. Sio suala la kusubiri kama unapika wali na kuku.
Ulaya Yatahadharisha Familia Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI 🤯
Umoja wa Ulaya umewashauri raia wake kujiandaa ili waweze kujikimu wenyewe kwa muda wa saa 72. Inashangaza—kwa nini Umoja wa Ulaya, ambao kwa kawaida huwa waangalifu sana na wenye kuzingatia usahihi wa kisiasa, ghafla unazitahadharisha...
Wakili Peter Madereka, kuna swali ambalo kifungo cha Tundu Lissu hakiwezi kulijibu. Jamhuri iliiambia Mahakama Kuu kwamba kauli za Lissu ziliwashawishi baadhi ya watu kuvuruga uchaguzi. Sasa wananchi wana haki ya kuuliza jambo la msingi.
Ni vituo gani viliathirika, wapiga kura gani walipoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.