wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Unadhani hila na chuki za wasusia uchaguzi na wanaharakati uchwara zinaweza kudhoofisha uchapakazi wa viongozi wa wananchi hususani wa kitaifa?

    Maana sote ni mashahidi wa namna viongozi wa serikali sikivu ya CCM wanavyochapa kazi kwa weledi na bidii usiku na mchana, ili hatimae wananchi na waTanzania wote wanufaike kijamii, kisiasa na kiuchumi. Hata hivyo, licha ya kazi hizo kubwa na nzuri sana zinazofanywa na viongozi katika ngazi...
  2. A

    KERO Wananchi wa Kipunguni B, tunazungushwa kurasimisha ardhi yetu, nyumba zetu zipo kwenye eneo la viwanda

    Habari JF, Sisi ni baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Machimbo na mitaa jirani, Kata ya Kipunguni B, jijini Dar es Salaam. Tumekuwa tukizungushwa kwa muda mrefu kuhusu urasimishaji wa makazi yetu, bila kupata majibu ya uhakika kuhusu hatma ya nyumba na viwanja vyetu. Kwa zaidi ya miaka minane sasa...
  3. idiomer

    Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  4. BIOTOXINS

    KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  5. Wizara ya Ardhi

    Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kutumia mifumo ya e-Ardhi na e-Office kwa ufanisi ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi

    ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi, kuondoa urasimu na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
  6. Wizara ya Ardhi

    Hati milki za ardhi 266 zatolewa kwa Wananchi wa dawar hanang'

    HANANG' Jumla ya hati miliki 266 za viwanja na mashamba zimetolewa kwa wananchi wa Kata ya Dawar mkoani Manyara. Hati hizo zimetolewa Oktoba 8, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Hanang’, aliyekuwa Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi hati hizo Mhe. Vita Rashid Kawawa, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji...
  7. Jannatul Firdaus

    Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  8. Boss la DP World

    Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
  9. Wizara ya Ardhi

    Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  10. A

    KERO Tukio la kukamatwa kwa Wananchi katika Hospitali ya Selian Arusha kwa utaratibu wa ajabu kabisa

    Jioni ya tarehe 6, askari polisi waliovaa nguo za kiraia walifika katika Hospitali ya Selian jijini Arusha na kumtoa wodini kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Lobulu Masiaya Tome. Baada ya kumpeleka katika eneo la mapokezi la hospitali hiyo, walimpiga pingu, wakampandisha kwenye gari na...
  11. steve_shemej

    Askari Polisi wanaosimama karibu na kituo cha mafuta cha lake Oil Mabibo wanaumiza Wananchi

    Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza raia Kwakuwa pale kunakuwa na foleni gari na pikipiki Huwa zinapita polepole askari wakishirikiana na...
  12. Waufukweni

    Mch. Msigwa: Jeshi ni la Wananchi, mmeumbuka kama wachawi. Yule kiongozi wa CCM amesema maaskari wote waliosimama hapa, eti ni mali ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa amesema mfumo wa vyama vingi unahitaji kuwepo kwa uhuru wa mawazo na nafasi ya wananchi kuikosoa serikali bila kuhusishwa na usaliti au mapinduzi. Akizungumza katika Mkutano, Msigwa amedai kuwa kuna viongozi wanaona kuikosoa CCM ni sawa na kukosa uzalendo, huku akisema...
  13. Wizara ya Ardhi

    Wananchi Chemba kunufaika na Kliniki ya Ardhi

    Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano. Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya Chemba...
  14. W

    Tumieni vitengo vya mawasiliano kufikisha taarifa kwa wananchi

    Taasisi za Sekta ya Maji zimetakiwa kuwa na mifumo ya dharura itakayo saidia kupunguza athari zinazoweza kujitokeza wakati wa mvua za El Nino kama ilivyo tabiriwa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA). Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) ametoa angalizo hilo akipokea taarifa...
  15. Kaka yake shetani

    Hivi kwa nini serikali yetu pale wananchi wakijiwekea biashara shughuli au uchimbaji mnaingilia na kusingizia muwekezaji.

    Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika. Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji. Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
  16. H

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
  17. Wizara ya Ardhi

    Wananchi Kigoma wapokea kwa kishindo zoezi la uhakiki wa taarifa za uthamini, waliobaki wahimizwa kuhakiki

    KIGOMA: Wananchi wa Mkoa wa Kigoma wamehimizwa kutumia kikamilifu zoezi la kuhakiki taarifa za mali zao na kutoa maoni pale wanapoona kuna taarifa ambazo hazijaandikwa kwa usahihi katika mchakato wa uthamini. Mthamini Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rashid...
  18. R

    Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa ruti ya Elfu 13, 500 Asubui Morogoro-Dar na kuweka ya 50,000 ambayo wananchi wengi hawaimudu?

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha: "Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎 Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔 Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Tajiri ninathibisha, CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo. Msikiti wa bilioni 21 unaojengwa na Makonda hauna tija.

    CCM haina nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo Watanzania. Msikiti wa bilioni 21 una faida gani kiuchumi na well being kwa individuals, na society . Hawa viongozi walafi na walevi wa madaraka, wanawaona Watanzania kama their source of personal income. Juzi tumeona kaboti ka bilioni moja...
  20. M

    Mawaziri wapokea taarifa ya wataalam kuhusu mgogoro wa mipaka ya kiutawala na msitu wa Kazimzumbwi

    Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Back
Top Bottom