wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

    Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa. Bila toba hatutoboi .
  2. K

    Kwa uelewa wako nini maana ya kutumia mantiki (logic) vs mihemko (emotions)?

    Tumesikia mara nyingi kauli kama 1.Anafanya maamzi kwa mihemko 2.Kukurupuka 3.Kwa kufuata hisia 4.Kwa logic(mantiki) 5.Kwa kufuata upepo(fallacy) Kwa uelewa wako unatofautishaje kati ya kuamua kwa mantiki na mihemko? ShesRise_1 Mshana Jr win-one de Gunner Infropreneur et al
  3. Vaa vizuri, jipende, pendeza. Mwonekano wako wa nje unawakilisha wewe wa ndani.

    Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover" Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake; Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi. Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona. Na mchakato huo hufanyika ndani...
  4. M

    Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  5. Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

    Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
  6. Tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu badala tujikite kwenye uzalishaji: makosa ya wazazi wako yasiathiri wengine.

    Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
  7. T

    Kama CCM imeweka kwenye ilani yake kipengele cha mabadiliko ya katiba ni cha nini kama kutwa kucha makada wao wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?

    Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!? Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
  8. ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  9. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  10. Mkoa wako upo?

    CCM hoyeee!
  11. A

    Mh. Rais makamu wako asiwe mtu anayewaza kuja kuwa Rais

    Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo. Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa! Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...
  12. Utafanyaje ukigundua mamtu wako anabeti?

    Imagine unakaa na mtu wako unashika simu yake unagundua kwamba anabeti na ni gwiji kabisa ,fundi wa kusuka mikeka , unakuta betting slips kwenye simu yake, mpaka walpaper yake amemueka Bukayo Saka na watu wanamtegemea kwenye kupata odds. Utafanyanye ukigundua mpenzi wako ni wa hivyo.
  13. Samia mpe tu hiyo nafasi Mbowe kama ulivyodhamiria ili mpango wako ukamilike

    Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu. Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
  14. Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  15. Mwenye fursa au information ya kazi yoyote msaada wako unahitajika

    Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
  16. Mwanamke akidai mtoto ni wako yeye ndiye mwenye wajibu wa kuthibitisha na kugharamia gharama za DNA. Ikibainika ni wako, mnagawana gharama.

    MWANAMKE AKIDAI MTOTO NI WAKO YEYE NDIYE MWENYE WAJIBU WA KUTHIBITISHA NA KUGHARAMIA GHARAMA ZA DNA. IKIBAINIKA NI WAKO, MNAGAWANA GHARAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ambaye hujamuoa. Sio mkeo. Ikatokea ulilala naye na bila shaka ni kwa lengo la starehe kwa sababu ingekuwa ni...
  17. Muonekano wako ni kama unavokula... Pia akili yako ni kama unavoilisha

    Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa...
  18. Kwa nini wadada wenye makebo makubwa huwadharau wenzao wembamba mbona sisi vidume wenye pesa huwa watu poa kwa wenzetu makapuku

    Mallerina aka kiuno nyigu, shepu ya zebra huwa ni kwanini lakini? Mbona tajir secretarybird ni mtu poa sana kwa apeche alolo wengi tuliomo JF?
  19. Atatamani awe wako

    Kupenda ni sanaa Kupenda ni hisia Kupenda ni pepo, lakini kuhodhi moyo wa mtu ni kipaji. Usitafute tu nafasi kwenye macho yake, tafuta mizizi kwenye fikra zake. Mfanye akukumbuke sio kwa sababu upo karibu, bali kwa sababu ladha ya uwepo wako haipatikani kwingine kote. Mnusanishe harufu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…