mnyamwezi unaumia ukiwa wapiLakini mmmh hata Tabora nao wamo!!
Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kantyentye.Serikali ikatimize wajibu wake kuondoa ujinga kwenye hiyo mikoa.
Lakini mmmh hata Tabora nao wamo!!
😆😆Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kanyentye.
Usinipe kabila hilo mkuu.mnyamwezi unaumia ukiwa wapi
Ntalai, ndati na kanyetye ni vitu gani hivyo mkuu?Hawapendi shule.Kazi yao kula ntalali,ndati na kuwinda kanyentye.
Atakuwa yupo marekani, wanyamwezi si wamarekani?mnyamwezi unaumia ukiwa wapi
Ntalali na ndati ni matunda.Kantyentye ni vindege vya porini.Ntalai, ndati na kanyetye ni vitu gani hivyo mkuu?
Kinyamwezi ntalali ni blue berries na ndati ni apple.Ntalali na ndati ni matunda.Kantyentye ni vindege vya porini.
Wanajua kazi haooo; wajuzi walee; wamechezwa wakachezekaa haooo!Haya wanyamwezi in da buliding
Binti wa zamani
Ila ukweli usemwe lindi na mtwara ndo Kuna watu watu illeterate sijawahi kuona
Labda kinyamwezi kilichoboreshwa hicho.Kinyamwezi ntalali ni blue berries na ndati ni apple.
Wana uchumi wa katikati kwenye viuno.Ashakum siyo Asha-ngedere!Wanajua kazi haooo; wajuzi walee; wamechezwa wakachezekaa haooo!