Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale
We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo
Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu maisha watu unaoishi nao wanaweza kabisa kubadilisha namna unavyojiona hata bila wewe kugundua. Ukiwa karibu sana na watu wa umri mkubwa, baada ya muda unaanza kujikuta unatabia za kikubwa automatically. Unaanza kuongea kwa utulivu, kufikiria maisha kwa...
1. Jaji Warioba amesema kwamba hakubaliani na idadi ya vifo 518. Mzee Warioba anaamini vifo vipo zaidi ya vilivyotajwa na Tume.
2. Anasema ni kwlei tume ni ya Rais lakin ripoti ingewekwa wazi ili wadau watoe maoni.
3. Kama kuna watu wali organize Maandamano ya Oktoba 29 na nyumba zilizohusika...
Hodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
Habari za majukumu wakuu
Leo baada ya kuchoka kutafakari namna gani napata wapi michongo, notification iliingia watsapp kucheki vizuri nikaona picha kadhaa zimetumwa na mtu wangu kafanya hivyo ili nipate picha ya kumpost birthday yake umekaribia(si mnajua watoto wakike wanavyozingatia hata...
Je ulitokea mtu uliemuaamini ukatumiwa au kugundua "mafile" yake yasiyopendeza machoni utachukua hatua gani?
Kwa zama hizi za technology ambazo hawasimulii tu Kwa kinywa Bali Kuna ushahidi wa picha,videos nk
Au response itategemea na ukubwa wa file na uzito wake?😊
Na ikiwa tayari ushaingia nae...
Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
Kumbe kinachosema watu kuwa ulimi wako unaweza kuwa laana kwako ni kweli. Kuna dada mmoja hapo nyuma aliachana na mume wake baada ya kufungua kibiashara chake ambacho kilikuwa kinamuingizia pesa.
Dada uyo alimchafua mume wake kwa kumtukana mpaka kwenye mitandao ya kijamii TikTok uko akishauria...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
🔥 CAR USB CHARGER (FAST CHARGING 48W) 🔥
Chaji simu zako kwa haraka na urahisi!
Ina ports 6 (Type-C + USB) – unaweza kuchaji abiria wa mbele na wa nyuma kwa wakati mmoja 🚗⚡
Waya mrefu (1.5M) unawafikia hadi waliokaa nyuma
Inafaa kwa simu zote na vifaa vingine
💰 OFa: 30,000/= tu
📍 Arusha Town
📞...
Kwa mujibu wa pew research center 41% ya Muslims wa tanzagiza wanasapoti sharia au wangependa sharia iwe sheria ya nchi vs 39 % ya Christians wangependa Biblia iwe sheria mama ya nchi i.e tuishi kwa kufuata Biblia amri 10 za Mungu ziwe supreme, kulinganisna na muslims wa kwingineko bado hali...
Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro.
Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha anajipost mtandaoni kabinua matako yake nawewe pasina kuwa na haya una comment umedamsh,umewaka,umependeza...
Rafki mpendwa
Leo nakuletea maneno matano yenye Nguvu ya kisaikolojia unayoweza kutumia katika Matangazo, mazungumzo Yako ujumbe wako nk
Ili uweze kuwashishi watu wachukue hatua
Twende pamoja
Neno la kwanza ni Neno WEWE Hili neno wewe Lina Nguvu zaidi kwenye
Ushawishi kwa sababu Binadamu...
Hii serikali unaguzi hauishi.
Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto.
Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara, mkuu wa section nk.
Mahala pako na shida. Kama vipi tuwe tuna reshuffle.
Si wengine ata kaunda suti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.