wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  2. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

    Ugonile, sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu. Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Only fools fall for religion traps.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Bado una namba ya EX wako?

    Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako...
  6. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kumlea Mtoto Miaka 10 halafu mwanawake akuambiwe siyo wako

    "Mhe. Mwenyekiti, huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unaolea miezi tisa. Una—anazaa mtoto, unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakombana kidogo anakwambia, 'Hata huyo mtoto mwenyewe sio wako!' Ipo namna mwanaume yeyote ipo namna ambayo mwanaume anaweza...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe hawa watu wako well informed of what transpired on 29th October 2025

    Here it is! Kwa wanachokiandika, unaona kabisa kuwa wanajua kila kitu. Sidhani kama hao wa Nigeria watasaidia lolote
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Kununua Hayana Amani Kama Kuwa na Mke Wako

    Kadri vijana wengi wanavyoendelea kukua, wengi wanajikuta wakiingia kwenye mahusiano ya pesa yaani kununua malaya kuliko mapenzi ya kweli ya kuishi ndani na mwanamke. Wapo ambao kila wakitaka kuwa karibu na mwanamke lazima gharama ihusike tendo linakuwa kama kazi ya kulipia huduma badala ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kama uta pata ajali ya kujiunguza au mtu wako wa karibu akiungua mtibu hivi ata pona papo hapo

    Hii ndiyo tiba na huduma ya kwanzaya kuungua iwe na moto au maji au chochote. Ni baada yakupata hiyo ajali hakikisha haugusi kitu chochote cha baridi. Yaani epuka kutumia maji au kitu chochote cha baridi. Baada ya hapo tafuta nguo nzito au shuka zito au hata koti zito ni sawa kishachukua hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wadada ni nguo gani ya mpenzi wako unapenda kuivaa?

    Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda. Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye mshahara wako ukisave kila mwezi 700k unabakiwa na tsh ngapi?

    Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana. Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu nimeonelea ili niweze japo kufikia malengo japo kwa 40% ninahitaji kusave 700k kila mwezi kwa muda wa miezi...
  15. JamiiForums Tanzania Mtu Wako Wa Karibu Anaweza Kukuuza Kwa Bei Yeyote Kwa Adui Zako

    Mathayo 26:14-15 TKU [14] Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alikwenda kuzungumza na wakuu wa makuhani. [15] Akasema, “Nikimkabidhi Yesu kwenu, mtanilipa nini?” Makuhani walimpa sarafu thelathini za fedha. Yuda alikuwa mtu wa karibu sana na Yesu, haikutegemewa kama...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Kutazama juu kutokea chini kunavyo badili mtazamo wako kihualisia

    Mtazamo (perspective) hubadilisha kila kitu. Katika ubunifu (design), upigaji picha, au maisha ya kila siku, jinsi unavyoweka "lenzi" yako ndivyo inavyoamua mwonekano wa hadithi unayoisimulia. Unapobadilisha mtazamo na "kuangalia juu" (looking up), papo hapo unabadilisha jinsi picha au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unaandaaje Lishe ya mtoto wako?

    Hili si la wanawake pekee hata wanaume mnahusika katika kuhakikisha afya za watoto lazima kujua mtoto wenu anatumia lishe gani, je ina faa au bora asibe tu. Kuna kautamaduni ka kuhisi lishe ya mtoto hasa uji ni ule wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali bila kujua kipimo cha nafaka hizo na...
  18. JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mzee aliye data wasira wauaji ni ma boss wako

    Mzee huyu inabidi apewe wana za kupunguza ukichaa wa uzeeni hayupo sawa kabisa. Yaani hata hajitambui kwa ukweli kwamba mauaji ya mwaka jana amri imetoka kwa boss wake
  20. JamiiForums Tanzania Funga zipu! Hata Mkeo ni mzuri, sema tu umemzoea

    Kinachofanya wanaume tuwe malaya ni Saikolojia tu hakuna kingine ila wanawake ni wale wale We umesahau siku ya kwanza kumtokea mke wako ni kitu gani kilikuvutia ? Kwani hiko kitu hakipo Mazoea tu yanakufanya umchukulie poa wife wako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…