wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani wako nyuma ya hizi ID mpya hapa JF maana zinapost non-sense za kiwango cha juu sana

    Kila siku kuna ingizo jipya Nani yuko nyuma ya hizi ID au ni mpango maalum wa kupoteza maboya decoy NB : Jf is threat to the throne
  2. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona mchumba wako ana sifa hizi oa na weka ndani

    Shikamoni wote humu natumai mu wazima wa afya. Kama hujaoa na una mchumba mwenye sifa hizi weka ndani 1.Mwenye heshima na adabu – Heshima ndiyo inabeba maana halisi ya wife material. Siyo yule anakudharau kwa kila unachofanya 2. Mwaminifu na mkweli – Ni mwadilifu katika mapenzi na maneno. Huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa mgeni sehemu yeyote fuata taratibu ili uishi vizuri na wenyeji wako

    Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko Iko hivi mfano Mara rorya huku hutaki kula chakula wakazi wakikuangalia hii imewashinda watumishi wengi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  7. JamiiForums Tanzania Andika maneno matamu kwa mwenza wako

    Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue; "My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha yangu unafanya kila siku inakuwa mpya. Kwa mahaba haya unayonipa unanifanya nijisikie nipo kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mpangilio wako wa pesa ukoje?

    Hey people, Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-mwisho-wa-mwezi-uzi-kwa-wale-wanaopenda-kuweka-akiba-kutoka-kwa-experience-yangu.2343182/ Uzi bado
  12. JamiiForums Tanzania Marafiki zako wa leo, Mustakabali wa Mtoto wako kesho

    Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda. Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha...
  13. JamiiForums Tanzania Unajichelewesha mwenye mimi kuwa baba wa watoto wako

    Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei Nakupigia simu, hupokei Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu Nakuandikia barua, hunijibu Nakutumia vocha, hunipigii Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.
  14. JamiiForums Tanzania Je, mentor wako ni nani?

    Nani mtu wako wa kwanza kumcheki pale unapotaka kufanya maamuzi ya jambo Fulani mathalani masiala ya kifedha,kazi,mahusiano n.k Yani likitokea Jambo tu lazima umcheki ni nani huyo?
  15. JamiiForums Tanzania Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  18. JamiiForums Tanzania Umri wa Kweli na Ufahamu Wako

    Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi tena kusema asili yako ni wapi kwa kuwa unajua kuwa asili yako ni ulimwengu. Wewe na ulimwengu ni kitu...
  19. JamiiForums Tanzania Kanuni ya Kichocheo na Matokeo: Ni Wajibu Wako

    Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu. Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya matokeo hayo kuonekana,Hii ndio kanuni ya msingi inayotawala maisha yetu. Katika kitabu chake cha "The...
  20. JamiiForums Tanzania Jifunze kuzitambua hisia za mwenza wako

    Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na kuingia katika uwanja wa vita kali ya kiroho. Unapochagua kumpenda mtu, huunganishi mwili tu, bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…