#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.
NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
Tarehe 16 April 2021 ni siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi katika Chama Cha Mawakili Tanganyika TLS (Tanganyika Law Society).
Wagombea urais waliopitishwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) hapo April 16 2021 ni wagombea watano ambao ni; Shehzada Walli, Albert Msando, Francis...
Wana CCM tunawakati mgumu sana mitandaoni na hata maskani tunapokaa, tumekosa confidence yakusimamia mijadala kwa sababu hatujui msimo wa chama na serikali ni upi.
Leo hii kila mada inayoibuliwa tukaitetea mwisho wa siku tunaumbuka, tumekuwa watu wakudelete posts zetu kuepusha fedhea.
Mifano...
Habari za muda huu jamiiforums
Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote....
ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19.
The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media...
Kwa mfumo wa siasa za Tanzania zilipofikia kila mtu ni mahabusu au mfungwa mtarajiwa isipokuwa kwa wale wenye kinga.
Naomba kwa nafasi zeni wekezeni kutengeneza mfumo wa kisheria unalazimisha vyombo vya dola visirundike watu mahabusu na gerezani bila ushahidi.
Wekezeni kutengeneza mfumo...
Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya:
1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji.
2. Dr. Mpango ni muungwana aliyeonja uhalisia wa Corona, mchumi ambaye kwa hali yoyote yeye kama mwenye uamuzi, hawezi kukubaliana...
Na. M. M. Mwanakijiji
Pamoja na kuwa Taifa limepoteza Rais wake kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli Chama cha Mapinduzi kinakabiliwa na changamoto ambayo kama chama hakijawahi kuipitia. Kwa mara ya kwanza Chama cha Mapinduzi hakina Mwenyekiti wake na hakina Katibu Mkuu wake. Ikumbukwe...
Hapa nchini tuna dini kuu mbili kubwa, Wakristu na Waislam.
Dini hizi zina lugha zao rasmi kwa mfano
1. Wakristu Wakatoliki wao ni Kilatini japo hapa kwetu ni majanga.
2. Waislam wote ni Kiarabu.
Nimesema lugha rasmi kwa maana ya sala ila kwenye mahubiri hutumia lugha za Taifa au mama sasa...
Wakati wa kuweka mashada ya maua leo kwenye ratiba kulikuwa na mwakilishi wa chama cha Wake wa Viongozi.
Hivyo hicho chama kinahusisha wake wa viongozi wa ngazi zipi na malengo yake hasa ni nini.
Wajuaji tu naomba mtujuze.
Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara.
Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
Ndugu Wanajukwaa
Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia
1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi...
Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa.
Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati?
Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
Naombeni kuwakumbusha viongozi wetu pamoja na wasaidizi wa viongozi, MSIICHUKULIE POA CORONA, CHUKUENI HATUA MADHUBUTI KIPINDI HIKI CHA MKUSANYIKO WA MSIBA WA KUMUAGA HAYATI JPM.
Nanyi wasaidizi wa Rais mteule wa sasa Mh. Samia Suluhu, hakikisheni mnamlinda kwa gharama zozote na maambukizi ya...
Chuki hupandwa, huchipua na hukua na huenea!
Chuki ni kama harufu mbaya ambapo bila kutoa uozo harufu inaendelea kuwepo!
Viongozi wengi hasa awamu hii wamekosa maono, wamegeuka wanyampala! Viobgozi wengi siku hizi Wanazani kuongoza na udanganya, kuficha, kupiga marufuku au kuzalilisha!
Huwezi...
Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17.
Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi hiyo. Wafahamu wanawake wengine walioshika nyadhifa za juu kabisa katika nchi zao barani...
Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo.
Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021.
Mwaka
Nchi
Kiongozi
Sababu
2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.