viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Nchini Somalia na Baraza la Seneti wamepinga uamuzi wa Bunge kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili

    Viongozi wa upinzani nchini Somalia na majimbo ya mkoa wa Jubbaland na Puntland, pamoja na baraza la seneti la nchi hiyo, wamepinga uamuzi wa bunge la nchi hiyo kuongeza muda wa urais kwa miaka miwili. Bunge la Somalia Jumatatu lilimwongezea muda Rais Mohamed Abdullahi Farmajo kuwa madarakani...
  2. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

    Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini. 1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu. 2. Manyanyaso ya wananchi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Kama taifa linaongozwa na 60% ya viongozi wasio na Upeo, maana yake hata Raisi yumo?

    Inahuzunisha sana kuona taifa kubwa Africa mashariki linashindwa kusonga mbele kisa ya kukosa watu wenye weledi kuliongoza taifa hili. Kwa majibu wa Pro. Mussa Assad, 60% ya viongozi wetu hawana ujuzi wa kutosha, hii inaonekana kuwa nikweli kwa maana ya khari ilivyo. Sasa Kama ndiyo hivyo, maana...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

    Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji. Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...
  6. Slowly

    JamiiForums Tanzania Haya ndo majina ya viongozi wa Africa

    Majina konki Sana , binafs nimeyaelewa😋
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa nchi mnatuchanganya Wananchi tunaomba mjiuzulu nafasi zenu

    Wakati Rais Magufuli akiwa madarakani tuliwaona mkiandamana nae kila mahali katika ufunguzi wa miradi mbalimbali. Na wakati mkiandamana naye mlipata nafasi ya kutoa neno na katika kufanya hivyo mliisifia miradi na kutuambia kuwa iko sawa kabisa, tuliwaamini kwakua nyie ndio mliyobeba dhamana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Mihimili simameni imara na kiuzalendo

    Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee. binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa "MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae kimya" Aliyasema hayo akirejea maoni yake kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo ambapo alisema rais...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnajisikiaje kuwahadaa Wananchi kwenye bei za bidhaa na huduma mbalimbali?

    Viongozi mara kadhaa sasa wamekuwa wakiuhadaa Umma juu ya bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Leo kila kitu kimepanda bei karibu mara mbili jambo ambalo ni mzigo kwa Mwananchi wa kawaida. Sukari ilipigiwa kelele lakini bado bei iliyobaki kuwa juu mpaka leo, mafuta ya kupikia ya alizeti tulikuwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwa namna viongozi wa CCM walivyonuna baada ya hotuba tusubiri mkwamo

    Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na wananchi wa kawaida. Siku zote ccm si chama kilichopo kwa ajili ya wananchi ni chama kwa ajili...
  12. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Njia inayoweza kutupatia viongozi bora na wenye uwezo wa ajabu

    1. Nafasi za kazi za kitaalam zitangazwe, sifa zinazoendana na aina ya kazi husika ziainishwe, na kila anayedhani ana sifa aombe. 2. Mchujo ufanywe na jopo maalum lenye mchanganyiko wa wataalam mbalimbali. Wenye sifa wote waende hatua inayofuata. 3. Ufanyike usaili wa kujieleza ambao utarushwa...
  13. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  14. Maleven

    JamiiForums Tanzania Sijasikia viongozi, wabunge na watu maarufu wakitetea wananchi kuhusu vifurushi vipya

    Au ndo haifai kuongea wakati wa kula? Au ndo wenzetu wanayumia wifi za office hawajapata taarifa? Nani wa kupaza sauti kueleza hali hii? Kwanini mitandao mingi imekaidi?
  15. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania CV za Viongozi, does it matter?

    Hello JF, Ni utamaduni viongozi wa serikali wakichaguliwa...humu JF zinajaa requests za kutaka kuona CV yake. Wakati tumeshuhudia serikali iliyopita ilijaa ma proffessors And yet,walikua passive ... Mabubu kwa kiongozi aliyewachagua, Na mtu aliyeishia darasa la saba kama Msukuma kuwa...
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali nendeni nyumba za ibada kusali na kuondoka matamko ya kiserikali upo utaratibu wake rasmi msiige tabia ngeni zisizo faa..

    Kwanza kabisa niwaombe msiwe waongeaji sana hii itaanza kushusha heshima yenu maana kupitia kuongea sana ndipo watu hupima busara zenu na kila neno litokalo vinywani mwenu hubebwa kama hoja na yaweza zua mjadala kama sio kuchora picha halisi ya mwenendo wa serikali hivyo vinywa vyenu mjitahidi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wadini waumini awapendezwi kuona wanasiasa wanaingia kwenye mimbari, tuwakataze

    Huu mfumo wa viongozi wa serikali kuongizwa kwenye ratiba ya misa unaligawa Taifa. Haiwezekani kila siku tukahutubiwa kupitia dhehebu moja kwa sababu tu kiongozi flani ametoka dhehebu ilo. Kwamba kiongozi akiwa mkatoliki kila jumapili anakwenda kuzungumzia kanisani, akiwa Muislam tumsikilize...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini tuwaelimishe viongozi wanasiasa kutosogelea Madhahabu wakati wa Ibada

    Viongozi wa dini hasa dini za Kikristo mnaombwa kuwakumbusha viongozi wa kisiasa kuheshimu Mimbari wakati wa ibada. Mimbari ni sehemu ambayo Walawi wanaruhusiwa kufanya Ibada na matamko yao kama walivyoamrishwa na Mwenyezi Mungu. Waislamu wenyewe hili lipo wazi Masheikh ndio huruhusiwa...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu huwa mnajisikiaje juu wananchi kukosa maji safi na salama tangu Nchi hii ipate uhuru?

    Naandika kwa masikitiko makubwa kwa sababu hali ni mbaya. Wilaya ya Mbogwe ni Wilaya moja wapo katika mkoa wa Geita na ipo karibu na Ziwa Victoria ila haijawahi kugusa maji safi na salama kutoka bombani tangu mwaka 1961 impala leo.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa CCM niwanafiki na wanatengeneza kizazi cha wanafiki

    Kigwangalla ni msomi akiwa Daktari wa binadamu, jana akiwa awamu ya tano alitueleza kupiga nyungu ni sawa na hakukemea mtambo wa Nyungu kuwekwa Muhimbili. Leo siku 17 tangu Mhe. Rais aondoke madarakani anatoka hadharani nakusema ule mtambo uondolewa na tufuate taratibu za kitaalamu. Huyu mtu...
Back
Top Bottom