Hello JF,
Ni utamaduni viongozi wa serikali wakichaguliwa...humu JF zinajaa requests za kutaka kuona CV yake.
Wakati tumeshuhudia serikali iliyopita ilijaa ma proffessors
And yet,walikua passive ...
Mabubu kwa kiongozi aliyewachagua,
Na mtu aliyeishia darasa la saba kama Msukuma kuwa...