vijana

  1. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Ahamasisha Vijana Kugeuza Changamoto za Mazingira Kuwa Fursa

  3. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  4. JamiiForums Tanzania ACT: JKT si chombo cha Muungano, si sawa kulazimisha Vijana wa Zanzibar wajiunge JKT, hiyo ni kupora mamlaka ya Zanizbar

    "JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar." Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
  5. JamiiForums Tanzania Msigwa: Wanaojiita Wanaharakati na Wafadhili wao wanahamasisha Vijana kuacha Kazi na Kujihusisha na Matusi na Udhalilishaji

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

    Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao? Au nihame nikatafute mbali?
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kuna rushwa kubwa na utaratibu usiofuatwa katika ukamataji wa Bajaj na Bodaboda

    Kuna zoezi la ukamataji wa Pikipiki na Bajaj linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa, jambo linalopunguza imani ya wananchi katika operesheni hizo. Aidha, faini zinazotozwa ni kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

    Sabato Njema! 1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically 2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake. 3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa. 4...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Serengeti Boys kufuzu Fainali AFCON U17, tubaki hukuhuku tusiende kuwavuruga vijana

    Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026 Video: Mchambuzi Smart
  10. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  11. JamiiForums Tanzania Kupuuza Sauti za Vijana leo ni kutengeneza mgogoro wa Taifa Kesho

    Viongozi wetu wanapaswa kuelewa jambo moja muhimu: kizazi cha sasa cha vijana si kizazi cha kuamrishwa bila kuuliza maswali. Hawa vijana wamefundishwa kuhusu demokrasia, haki za binadamu, uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa serikali. Hivyo wanapoona tofauti kati ya...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana na uchumi: Njia za kweli za kujikwamua kiuchumi katika enzi ya gharama kubwa za maisha

    Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka kwa kasi, vijana wengi wamejikuta wakikata tamaa, wakiamini mafanikio ya kiuchumi yanahitaji mtaji mkubwa, connection au bahati ya kipekee. Ukweli ni kwamba uchumi wa mtu hauanzi kwenye kiasi kikubwa cha fedha, unaanzia kwenye fikra...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuguzi wa Mikopo ya Vijana wana changamoto

    Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto Vyuo Vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Vijana wenye Ulemavu: Ukosefu Walimu na Vifaa

    Habari Wana nzengo Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

    Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'. Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wanataka aletwe Tanzania Msanii Sharukhan

    Habari za Sabato! Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana. Mnawaza nini vijana? Mnataka nini Vijana? Mkoje ninyi vijana? Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo. Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
  17. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inachelewesha sana kutoa mikopo ya 10% kwa vijana

    Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo. Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao...
  19. JamiiForums Tanzania Nani aliwalipata vijana walioingia barabarani October 29, 2025 siku ya uchaguzi?

    Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale. Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa? Makundi ya vijana kuratibu...
  20. JamiiForums Tanzania UDOM, SYDF na TISEZA Waibua Mwanga wa Uwekezaji kwa Vijana

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), leo tarehe 15 Mei 2026, wameendesha mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi yaliyofanyika katika Ukumbi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…