vijana

  1. M

    Hata hali ya nchi iwe mbaya kiasi gani, kamwe msiwaze kujikomboa kwa kuomba msaada kwa Watutsi. Mtaingia kwenye mtego usio na mlango wa kutokea!

    Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza. Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
  2. Vijana wawili waliwala wanawake zaidi ya mia tatu bure tena wao ndio walilipwa, ama kweli mjini shule

    Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi. Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
  3. O

    Taharuki Barabarani: Vijana Wazua Kizaazaa kwa Stunt za Hatari za Kuhatarisha Maisha

    Nairobi, Kenya — Hali ya taharuki na mshangao imezuka mitandaoni kufuatia kusambaa kwa video fupi inayoonyesha kundi la vijana wakifanya vitendo vya hatari barabarani huku gari likiwa linaendelea kusafiri. Katika video hiyo inayosambaa gari jeupe aina ya Toyota lenye namba za usajili za Uganda...
  4. Katika kupigwa kwa Bilioni 120 za mikopo kwa vijana chanzo ni waziri husika kukurupuka, tulizeni wenge mtapigwa mno

    Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka. Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa. Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru == "kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
  5. Kuhusu wachaga hasa vijana wa kiume

    Inashangaza mno vijana wakichaga haswa wa kiume kuteswa na mapenzi badala ya pesa na hangover , sichelei kusema tunaenda kupoteza utambulisho wetu rasmi🤔
  6. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  7. Anayeuliza swali hili ni kijana Ibrah Mkwela. Swali fikirishi kwa vijana wa leo.

  8. Polisi: Tunachunguza Vijana Jamii ya Kimasai kuvamia wenzao wa Jamii ya Kimasai eneo la Kimnyaki - Arumeru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio lililotokea tarehe 03.11.2026 muda wa asubuhi baada ya kundi la vijana jamii ya Kimasai kudaiwa kuvamia maboma ya jamii nyingine ya Kimasai na kuchukua mifugo huko katika Kijiji cha Kimnyaki, Wilaya ya Arumeru...
  9. Kimsingi Godbless Lema hana ushawishi, hata apumzike yeye na Mbowe wahame wote Vijana hawawategemei

    Hamjambo wote! Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake. Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA. Huo ushawishi hana. LEMA ajue Chadema ndio...
  10. Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  11. N

    Tufanye nini kama taifa ili vijana wetu wawe na moyo wa kujitolea (kufanya jambo hata kama hatolipwa pesa) ndani ya jamii??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine gari yako imekwama kwenye mchanga maeneo ya Mbagala Chamazi kisha vijana watatu (3) wanakusaidia kuisukuma mpaka inafanikiwa kutoka. Baada ya hapo, badala ya vijana kusema "kaka tunakutakia safari njema" wao wanasema "kaka tuachie hata ya soda basi" Au...
  12. R

    Kampala: Leo kati ya Vijana kumi, sita wamelegea. Vijana wetu tumewaacha

    Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga Kampala, wakati akichangia hoja bungeni jana Oktoba 30, 2026, amesisitiza kuwa ili nchi iweze kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa mafanikio, inapaswa kuwekeza kwa dhati na kulinda nguvu kazi ya vijana ambao ndio asilimia 70 ya wananchi wote wa Tanzania...
  13. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  14. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba tuangalie mustakabali wa vijana wetu

    ▪︎ Ataka viongozi wa Afrika wazingatie uwezo mkubwa walionao vijana ▪︎ Ashawishi matumizi ya Kiswahili kwenye mikutano ya jukwaa hilo▪︎ WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka viongozi wa Afrika kwa umoja wao waangalie mustakabali wa vijana wa bara hilo kwa vile wana uwezo mkubwa licha ya...
  15. Vijana tukajiajiri afu tunalala selo

    “NIKAE KUWA MWIZI? NIMEJARIBU KUJIAJIRI, LAKINI BADO NAKAMATWA NA JIJI!” — KIJANA ALALAMIKIA KUKAMATWA KWA KUFANYA BIASHARA Kijana mmoja ameeleza masikitiko yake baada ya kukamatwa na askari wa Jiji kwa madai ya kufanya biashara, akisema amekuwa akijitahidi kujitafutia riziki kwa njia halali...
  16. Hali ya kuchanganyokiwa inavyomaliza vijana wengi nchini

    Hali ya kuchanganyikiwa au kuwa na mkazo mkubwa wa kisaikolojia (stress/confusion) huathiri mfumo mzima wa ubongo, hasa maeneo yanayohusika na kufikiri, kufanya maamuzi, na kudhibiti hisia. Tunapozungumzia ubongo wa mtu aliyechanganyikiwa au aliyefikishwa katika kiwango cha ugumu mkubwa wa...
  17. Rais Samia ashuhudia nguvu ya vijana

    ◇Ni inayotokana na msisitizo wa uteuzi wa wasaidizi wake ◇Ndejembi akomaa kila fursa inayojitokeza, wasikosekane ◇Alianza na mafunzo kwa vitendo, kampuni zao, sasa kwenye gesi
  18. M

    Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

    Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze. Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla. Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi...
  19. Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  20. Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

    "Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi. Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…