Inakuwaje wanajamvi,
Yani ukiangalia picha na video za miaka ya tisini kurudi nyuma vijana wengi hadi wa makamu miaka 45+ walikuwa na afro na nywele nyingi. Ngumu sana kukuta vipara.
Ila sasa hivi kwaanzia ma teenegers hadi 27 years wengi wana vipara.
Tatizo nadhani msongo wa mawazo, vyakula...
Mbunge wa Manyoni Mashariki, Dk Pius Chaya (CCM) alisema tatizo la ajira kwa vijana wanaohitimu vyuo vya kati na vikuu nchini katika ngazi za cheti, stashahada na shahada ni kubwa.
Dk Chaya alisema tatizo lipo si kwa sababu elimu ni mbovu, ila kutokana na mfumo wa elimu ambao mwanachuo...
Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao...
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema wabunge vijana wanashindwa kulisaidia Taifa kwa kuwa michango yao bungeni haina tija na haiwezi kuwapeleka mbele Watanzania.
Ameeleza hayo Februari 10, 2021 bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa Mpango wa Serikali unaoonyesha mwelekeo wa...
Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote!
Je, kama nchi tufanyeje ili kuondoa hali hii?
Kutoka Dodoma.
"Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu".
"Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai.
Nini...
Ndugu zangu
Inakuwaje mwanaume mzima anaendesha ka baby Walker?
Yaani jibaba nene linatumia kigari cha mkewe? Huoni aibu? Si bora hata upande daladala?
Hata Bashite alisema wazi vi gari vya IST ni vigari vya kuhongwa wewe mwanaume huoni aibu?
Hii tabia walikuwa nayo wanaume wa Kinondoni, ila...
Baada ya tafrani kubwa Kuhusu ajira za walimu zilizotangazwa, hatimae kimya kimya walimu 5000 wapigwa stop baada ya kugundulika hawana sifa za ualimu wengi wao wakiwa ni mathematician, engineer's, BVM na wataalam wa accountancy!
Hata hivyo chuo cha ekernfors Tanga, kimeingia ktk kashfa baada ya...
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.
Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
Taarifa Rasmi kutoka ndani ya Jumuiya ya Vijana NCCR aliyekuwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa miaka miwili Nicolas Clinton ameng'olewa kwenye nafasi hiyo na kamati kuu ya chama hicho.
Katika ukarasa wake wa Facebook ameandika maneno ya kukishukuru chama na Jumuiya ya Vijana kwa kuongoza ndani...
Ofisa Mtendaji Mkuu na mbunifu wa jukwaa la Gigspace, Ashura Babi, akiwa na mwanzilishi mwenza, Steve Mawalla, wamesema waliamua kuanzisha jukwaa hilo kwa ajili ya kuwaongezea na kuwafungulia vijana pamoja na wafanyakazi fursa pia za ajira kupitia mtandaoni.
Akizungumza katika mahojiano na...
Nimekaa nimejiuliza sana lakini jibu linalokuja kichwani ni tofauti na ninayoyaona mtaani.
Rejea kichwa juu. Una mke/mchumba unaweza kumruhusu asuguliwe miguu na kuoshwa kucha na vijana wanaofanya biashara hiyo?
Una mume/ mchumba unaweza kukubali mumeo akafanye massage (kukandwa kandwa) na...
Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi kwenye makazi ya kuhudumia wa zee na walemavu, walinzi wa mipakani, na watoa chanjo wenyewe.
Kisha...
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha...
Hii safi sana, vijana wetu waendelee kufundishwa systems developments ikiwemo apps na games development na mengine mengi, wawe wanakaa kwenye hizi bustani mchana kutwa wakifanya kazi zao....
Pia itarahisisha kwa tuliobobea kwenye tasnia ili kuwasaidia vijana, unatenga masaa mawili kila siku na...
Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk
Nimeona wengi kwenye comment wakishauri watu watafute pesa sana na kwa bidiii ili kuepuka hayo yote, kila ushauri mzuri ni vyema...
Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo.
Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali.
Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio.
Wengi wenu bado...
Ukweli ni kwamba mambo mengi yanayofundishwa shule ya msingi ndio hayo hayo yanafunzwa shule ya sekondari. Ushauri wangu ifanyike review ya mitaala ya elimu yetu na masomo yanayowezesha elimu ya kujitegemea yaongezwe.
Tupunguze mfumo wa elimu ya white colar na badala yake tuweke mfumo wa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.