Kutoka kauli ya vijana mjiajiri hadi kauli ya vijana kuwa wezi na kutokuwa waaminifu.
Kwa ujumla wake hakuna mtu aliyefurahishwa na kauli zako Mh.Ndugai dhidi ya vijana ukiwashambulia Bungeni kwamba hawaaminiki,wana kiwango kidogo cha uwaminifu ukifafanua kwamba wakipewa mradi wasimamie wanaiba...
Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa.
Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee?
1. Rushwa
2. Dhuluma
3. Kutupora Mademu zetu
4. Kuwasaliti Wake zenu
5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya
6. Utapeli
7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma
Generalist...
Habari wadau..
Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili..
Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000.
Namba ya simu ni 0692 275 229
Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...
Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile walichokwisha chuma.wapo tayari kuishi kwa unafiki ila wasitolewe kwenye nafasi zao.
Kwa sifa hizi wazee...
Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha.
Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
Habari wadau,
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, licha ya mazuri ya awamu ya tano lakini kosa kubwa liliofanyika ktk awamu hiyo ni kuwachelewesha maisha vijana.
Vijana wengi hususa graduates walikuwa wanaishi kama mashetani hakukuwa na ajira wala viwanda vipya vilivyoanzishwa na hata miradi...
Watanzania hatuna utamaduni wa kufundisha vijana wetu jinsi ya kujieleza na kuongea mbele ya watu. Hii inasababisha sana hata wataalamu wetu wengi kuonekana kama vile hawana utaalamu. Wenzetu kuanzia mtoto akiwa mdogo shuleni wanafundishwa jinsi ya kuwasiliana na hii inasababisha wanaweza...
Kwako Rais wetu na mama yetu,
Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele.
Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
Kenyans are rushing to enroll into drone academies as they seek to equip themselves with drone piloting skills so as to obtain operating licences.
Many of the Kenyans enrolling into the academies want to learn as well as obtain about licences that will allow them operate commercially.
Drones...
Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo.
Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
Mbunge wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) badala ya kuwafundisha wengi.
Bulaya amesema kutoa mafunzo ya silaha kwa vijana wengi wakati hawapati nafasi za kujiunga...
Habari wadau!
Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka.
Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi...
Wakuu
Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!
Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum,
Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.
Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii.
Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.