vijana

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

    Mbunge wa CCM Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro, Mh. Saashisha Mafue anadaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa ajira ya muda ya Postikodi Tsh 15,000 kwa siku badala ya Tsh 30,000 kwa siku kama ilivyopangwa nss as Serikali ya Rais Samia. Pili, Mbunge huyo anadaiwa amewaambia vijana hao kuwa ajira...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi). Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa. Kuna wale mabraza wa mtaa. Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home. Na mabraza wengine...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi. Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa Mitandao amesema kutoza kodi mapema kwenye biashara za mitandaoni kutauwa AJIRA za Vijana wengi na...
  4. JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Wilaya apiga marufuku vijana kushinda vijiweni

    Serikali ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa imewataka vijana kupitia mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuunda vikundi vya kiuchumi ili kunufaika na mikopo isiyo na riba toka Halmashauri badala ya kukaa vijiweni bila kazi. Rai hiyo ilitolewa jana Machi 9, 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi...
  5. JamiiForums Tanzania Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

    Hiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana. NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa vijana: Watoto wote wa viongozi wana ajira

    Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  8. JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana msiooa kuna ujumbe wenu hapa.

    Ujumbe wenu huu hapa chini 👇👇
  11. JamiiForums Tanzania JKT na Magereza jiongezeni; msifanye miradi midogo midogo ambayo ni fursa za vijana

    Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani. Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa. Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
  12. JamiiForums Tanzania Makosa ya Kifedha yanayofanywa na vijana wengi

    1. Kutumia Fedha uliyoipata kabla ya kuweka Akiba: Msemo wa 'Ponda Mali kufa kwaja' au 'Nimepata pesa hii kwa shida, acha nitumie' hupelekea Vijana wengi kufanya Matumizi yasiyo na ulazima na kukosa Akiba 2. Kutupa Risiti (Stakabadhi za Malipo): Unaweza kudhani risiti za vitu unavyonunua hazina...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wacheza kareti wengi Bongo wako rafu, wanavuta bhangi, hawana maisha, ni vijana ambao wapo wapo tu?

    Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi. Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kero katika jamii lakini hawa vijana mabishoo nao pia wana umuhimu wao.

    Kero zaoa mara nyingi ni kuwa wavivu, kuvuta bangi, kukataa mimba, n.k. umuhimu wao sasa. mimi hawakubali sana maana ni kiboko ya nyodo Hawa ndio wale wanajua kuwanyoosha vile vidada vi sley Queen vya mjini wanavipa mimba vinarudi bushi kulea. Yani hao ndio wanajua kupunguza speed ya viruka...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji

    Vijana wa kujitolea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wanatengeneza sanamu ya mtu wa theluji.
  16. JamiiForums Tanzania Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

    Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amesema ili kulinda utu wa vijana serikali itawalipa vijana kila mwezi, robo tatu ya kima cha chini cha mshahara wanachopokea wafanya kazi Nchi hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa mafuta barani Afrika itawalipa vijana kila mwezi dinari 13,000 sawa na...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwa mfumo huu uliopo nchini chukueni maamuzi magumu

    Vijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k. Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji...
  18. JamiiForums Tanzania Saratani kwa Watoto: Takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani kila mwaka

    Kila mwaka, inakadiriwa takriban Watoto na Vijana 400,000 wenye umri kuanzia 0 - 19 hupata Saratani. Miongoni mwa Saratani zinazowaathiri zaidi ni pamoja na Leukimia na Saratani ya Ubongo Katika Nchi zilizoendelea ambapo Huduma zinapatikana kwa kiasi kikubwa, zaidi ya 80% ya Watoto wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Vijana: Usiishi Kama mwenyeji

    "USIISHI KAMA MWENYEJI" Anaandika Robert Heriel, Mwanafalsafa. Moja ya makosa makuu tunayoyakosea Vijana wa Zama za leo tuendapo Mijini au nchi za mbali, ughaibuni kutafuta maisha mazuri Kwa. Ajili yetu na familia zetu ni pamoja na "kuishi Kama wenyeji" mara tuu tufikapo ugenini, Mijini. Hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo. Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…