uwekezaji

  1. Wanazi wa Mabasi: Huu Ndiyo Uwekezaji Sasa!

    Mugonile/Mlivyedi Привет hii ni kutoka hapa chuo kikuu cha RUDN. Moja kwa moja kwenye hoja. Nawapongeza wawekezaji kama huyu jamaa ambaye nasikia ni kutoka nyanda za juu kusini huku mbeya. Hizi ndiyo mashine za kazi sasa na hapa kachukua nne kwa mpigo, hii nampa 👊🏾 sababu angeweza kushuka...
  2. Uwekezaji wa China nchini Morocco waleta wasiwasi wa Umoja wa Ulaya?

    Gazeti la Financial Times la Uingereza hivi karibuni limechapisha ripoti kuhusu makampuni ya China kuwekeza na kuanzisha viwanda katika Bustani ya Teknolojia ya Tangier nchini Morocco. Katika ripoti hiyo, Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya Maroš Šefčovič alirudia kauli ya “uwezo wa...
  3. BRELA NA UTT AMIS WAWANOA WANAFUNZI WA UDOM KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
  4. Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

    Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini? Ardhi Apartment Nyumba Commercial Property Tuambie chaguo lako kwenye comments au WhatsApp 0784 225 000 Kayinga Properties – Turning Opportunities into Investments
  5. Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  6. UDOM, SYDF na TISEZA Waibua Mwanga wa Uwekezaji kwa Vijana

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), leo tarehe 15 Mei 2026, wameendesha mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi yaliyofanyika katika Ukumbi...
  7. U

    Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  8. Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

    Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji. Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
  9. K

    Tujiulize Kwanini Tanzania haialikwi kwenye mikutano ya uwekezaji

    Mkutano unafanyika Kenya tumejaza majinga nchi nyingine za Africa zinapiga deal https://youtu.be/lf6WeLrKFLs?si=V5VWdGRa4KjbECbY
  10. K

    Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

    Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa. Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake. Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10%...
  11. Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  12. M

    Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe Asante
  13. Ruto ameongelea sera ya uwekezaji na biashara, Mwenzake anaongelea kuchapa bakora wakosoaji

    Speech ya Rais Ruto ilikuwa safi kutoka Kwa mtu smart. Imejaa weledi, sera, taaluma na utashi wa maendeleo Hotuba ya Samia imejaa visasi na chuki Kwa wananchi Aibu naona zaidi Kwa michango ya wabunge waliotoa, ilikuwa ni pongeza na uchawa Mara Ruto ni mpenda watu, mara oooh yaani upumbavu tu...
  14. U

    UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Habari ya leo wadau!Kama mtu anaanza kuwekeza katika hisa leo 4/5/2026 unaweza kumshauri anunue hisa za kampuni/benki gani?NAOMBENI USHAURI HAPO
  15. Mradi wa MVICs, ni Usalama barabarani au Serikali Imepata chanzo Kipya cha Mapato?

    Ndugu wamiliki wa magari, pikipiki, na vyombo vyote vya moto, Utawala umewarudia tena, baada ya kuwapa ile tozo ya kuchangia dawa za kufubaza VVU na zingine nyingi kwenye mafuta, bado wanadhani mnavibunda vya kutosha na kuthibitisha hilo, Aprili 30, 2026, serikali kupitia PPPC na Jeshi la Polisi...
  16. Rais wa Rwanda, Pau Kagame awasili nchini, akutana na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam

    Wanabodi, Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu) Paskali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi...
  17. K

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  18. Pitching ya uwekezaji

    PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS. Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha mwaka mzima...
  19. A

    KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  20. China na Kenya zafikia makubaliano ya biashara na uwekezaji

    China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu. Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na parachichi zitaingia katika soko la China bila ya ushuru. Wakati huo huo, China itawekeza mabilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…