uwekezaji

  1. the ostrich eggs

    Usipoyafanya haya utaishi kwa amani Tanzania na uwekezaji wako utakuwa na Tija

    Sababu 20 zinazoweza kusababisha Watanzania kuuawa Uporaji na uhalifu wa kutumia nguvu. Migogoro ya kifamilia. Wivu katika mahusiano. Kulipiza kisasi. Migogoro ya ardhi. Migogoro ya mali na mirathi. Migogoro ya biashara. Ukatili wa kijinsia. Mauaji ya watoto. Tuhuma za uchawi au imani za...
  2. Jifunafu

    Furusa ya uwekezaji/Uchimbaji Geita

    Habari za majukumu wana JamiiForums,mimi pamoja na timu yangu ya wachimbaji wadogo tuna miliki mradi (duara) uliopo katika mkoa wa Geita. Duara lina vipimo vya maabara na linatafuta mbia wa kumalizia vifaa na matimba ili kufikia uzalishaji. Tofauti na miradi mingi inayofanyika kwa...
  3. A

    DOKEZO Serikali ifatilie Uwekezaji TFS na iundwe tume maalum, kuna mazingira ya upigaji, uonevu

    Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi, kusababisha migogoro na kituo cha unyanyasaji wawekezaji katika mashamba ya Miti na Misitu pamoja na jamii...
  4. Zack Abdul

    Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  5. Masokotz

    Uzi Maalum wa Miradi na Biashara Zilizoanguka au kufilisika

    Habari za wakati huu; Ni mara chache sana watu hupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa watu ambao biashara zao zilifilisika au kuanguka kabisa.Biashara ndogo kubwa na za kati.Hi ni tofauti na ukweli wa kitakwimu unaoonesha kwamba asilimia kubwa za biashara hufa ndani ya mwaka wa kwanza. Nimeleta...
  6. Traxtion

    Kwa nini Air Tanzania wasiboreshe uwekezaji ndani ya nchi kwa sasa?

    Kama kuna kitu mpaka sasa utakuwa umegundua kwa Tanzania ni kwamba ni watu ambao hawapendi sana kwenda nchi za watu. Yeah wabongo wanaenda sana Dubai (UAE) na China lakini huwa wanaenda kwa biashara zao na kurudi Tanzania. Watanzania wanaosafiri kwenda kuishi nchi za mbali, au hata kutalii tu...
  7. 4

    Plot4Sale “Fursa ya Uwekezaji – Barabara Kuu ya Msata"

    🏡 KIWANJA 3,109 SQM KINAPATIKANA – BARABARA KUU YA MSATA, MAKURUNGE BAGAMOYO Fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji eneo kubwa lenye access nzuri ya barabara kuu kwa ajili ya biashara, lodge, hotel, kituo cha huduma au makazi. 📍 Mahali: Makurunge, Bagamoyo – Barabara Kuu ya Msata 📐 Ukubwa...
  8. NkomaBakhosi

    Ukweli Mchungu: Tim Draper Atauza Uwekezaji wa Lupita, Pesa Zitaenda Nje na Wananchi wa Nkasi Wataambulia Makombo

    Wakuu, habari za wakati huu.Sakata la Bilionea wa Marekani na mwekezaji wa mapema wa Tesla na SpaceX, Tim Draper, kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika kwa thamani ya Dola milioni 7.9 (zaidi ya Shilingi bilioni 20 za Kitanzania) limezua taharuki kubwa nchini. Hali hii...
  9. Parabolic

    Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  10. funaku

    Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

    Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    FAIDA FUND (WHI) YATOA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MOI KUHUSU UWEKEZAJI WA FEDHA

    Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa kuweka akiba na kuwekeza fedha kwa ajili ya maisha yao ya baadaye...
  12. Pfizer

    Uwekezaji Bandari Mtwara ulivyoibua fursa za kiuchumi

    Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika Bandari ya Mtwara. Mizigo inayopakiwa na au kushushwa kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya...
  13. K

    Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania yafungua milango ya uwekezaji kwa Saudia Arabia, yasisitiza uchakataji wa bidhaa nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati nchini Tanzania. Prof. Mkumbo amebainisha kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri ya kuisaidia Saudi...
  14. Pfizer

    Tanzania na Marekani zaahidi kuendeleza ushirikiano katika nishati, afya na uwekezaji

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu...
  15. H

    Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika, ikichangiwa na uwekezaji katika sekta madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu

    Serikali imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kuimarika na kwamba uwekezaji katika sekta mbalimbali, hususani madini, gesi, nishati, kilimo na miundombinu, unatarajiwa kutoa msukumo mkubwa kwa ukuaji wa uchumi. Hayo yalielezwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), wakati...
  16. H

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  17. K

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  18. The Watchman

    Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

    TAARIFA KWA UMMA DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE. Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE Usibofye. Usishiriki. Usitume pesa. Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
  19. N

    Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  20. mchuzi juu

    Naombeni ushauri juu ya uwekezaji nimeufanya (Saloon)

    Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k. Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu...
Back
Top Bottom