Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
elimu
elimu ya
hassan
hii
katika
kujitegemea
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
ujuzi
uwekezajiuwekezaji katika elimu
vijana
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi bilioni 60 katika kuboresha bandari za Mwanza Kaskazini, Bukoba na Kemondo, unaolenga kuimarisha usafirishaji wa abiria na mizigo...
Mmalaka za soka nchini Zimbabwe zimepiga hatua muhimu kuelekea kuanza kutumia teknolojia ya usaidizi wa marejeo ya video (VAR), kufuatia mkutano wa siku mbili ulioongozwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ulioanza Septemba 21 jijini Harare, ukiungwa mkono na ufadhili wa kampuni ya Sakunda...
1. UTANGULIZI
Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika soko la hisa.
Hata hivyo, baadhi ya watu wanapoanza kuwekeza, huwa na matarajio ya kupata faida ndani...
Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M
Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi.
Kinachonifanya nisite kulipia...
1. Bakhresa group of companies
2.taifa group of companies
3.oilcom group of companies
4.lake energies group
5.amsons group of companies
6.metl group of companies
7.azania group of companies
8.motisun group of companies
9.mac group of companies
10.murzah group of companies
11.gsm group...
Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa akizungumza na Waandishi wa Habari Novemba 10, 2026 amesema, "Hatuna mbuga iliyouzwa [...] Kinachofanyika kwenye hifadhi za TANAPA ni uwekezaji."
Wakuu kwema ?
Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
Dar es Salaam, Novemba 6, 2026: Vodacom Tanzania Plc imetoa ripoti yake ya nusu mwaka kwa mwaka wa fedha 2027 ikionesha ongezeko la mapato yatokanayo na huduma kwa asilimia 20.8 hadi Sh trilioni 1.067 huku faida baada ya kodi ikipanda kwa asilimia 182.7 hadi Sh bilioni 117.8.
Ukuaji huo katika...
1. UTANGULIZI
Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji.
Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
Wasalaam Jf,
Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
Nimeandaa makala inayochambua utekelezaji wa Government Notice No. 487A of 2025, inayozuia wasio raia kufanya baadhi ya shughuli za biashara Tanzania.
Lengo la kuwalinda na kuwawezesha Watanzania kiuchumi ni muhimu. Lakini kuna swali linalohitaji mjadala; Nini kinatokea kwa kampuni zilizokuwa...
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia.
Sasa swali langu wazee, nimedownload app...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira.
“Wanawake hawapo pembezoni mwa...
Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
amani
amani na usalama
biashara
biashara na uwekezaji
chadema
kaskazini
kikuu
kivutio
kurejea
mikono
mkubwa
mtuhumiwa
nchini
tamaa
tanzania
uhaini
uhakika
usalama
utalii
utawala
utulivu
uwekezajiuwekezaji tanzania
wote
DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa lengo la kubaini maeneo yasiyoendelezwa na kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.