uwekezaji

  1. Fascinating

    Mradi wa MVICs, ni Usalama barabarani au Serikali Imepata chanzo Kipya cha Mapato?

    Ndugu wamiliki wa magari, pikipiki, na vyombo vyote vya moto, Utawala umewarudia tena, baada ya kuwapa ile tozo ya kuchangia dawa za kufubaza VVU na zingine nyingi kwenye mafuta, bado wanadhani mnavibunda vya kutosha na kuthibitisha hilo, Aprili 30, 2026, serikali kupitia PPPC na Jeshi la Polisi...
  2. Pascal Mayalla

    Rais wa Rwanda, Pau Kagame awasili nchini, akutana na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam

    Wanabodi, Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu) Paskali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi...
  3. K

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  4. Mhina Martin

    Pitching ya uwekezaji

    PITCH YA KILIMO– MANTO FARMING SOLUTIONS(MARTIN MHINA Habari za wakati huu Ndugu,Jina langu naitwa Martin Mhina, mimi ni Bwana Shamba na mwanzilishi wa MANTO FARMING SOLUTIONS. Tunajishughulisha na uzalishaji wa mazao ya chakula kwa mpangilio wa misimu ili kuhakikisha tunazalisha mwaka mzima...
  5. A

    KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  6. Yoyo Zhou

    China na Kenya zafikia makubaliano ya biashara na uwekezaji

    China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu. Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na parachichi zitaingia katika soko la China bila ya ushuru. Wakati huo huo, China itawekeza mabilioni...
  7. Parabolic

    I&M yapanua uwekezaji sekta ya fedha, ikifungua tawi ijpya Dar

    Benki ya I&M imeendelea kupanua uwekezaji wake katika sekta ya fedha baada ya kufungua rasmi tawi lake la tisa katika eneo la Palm Village, Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kusogeza huduma za kifedha karibu na wananchi na kuchochea ujumuishaji wa kifedha kwa wateja...
  8. D

    Kamati ya Bunge yavutiwa na uwekezaji miradi ya DAWASA

    Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)kwa jitihada kubwa za kutekeleza miradi mikubwa ya majisafi na ya kuboresha Usafi wa Mazingira yenye kuleta tija ya upatikanaji wa huduma kwa wananchi sambamba na...
  9. Equation x

    Uwekezaji wa majengo haulipi

    Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa...
  10. L

    Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Karibu Karatu

    FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – KARATU MJINI Unatafuta eneo lenye mvuto wa kipekee kwa shughuli za utalii? Hii hapa nafasi ambayo haitokei mara kwa mara. Eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5, lipo katikati ya mji wa Karatu, sehemu yenye uhai wa biashara na mtiririko wa watalii mwaka mzima. Linapatikana...
  11. Mafyangula

    Kitila: Tutaanza kuwapima Wakuu wa Mikoa katika kuvutia uwekezaji na kulinda biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Kitila Mkumbo, amesema Serikali inapanga kuanza kupima utendaji wa kila mkoa kulingana na uwezo wake wa kuwezesha biashara na kuvutia uwekezaji. Akizungumza katika Mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya...
  12. Dong Jin

    Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

    Wazee kwema Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅) Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo...
  13. danhoport

    DUNLOP: Sio tairi tu, ni uwekezaji wa usalama kwa chuma chako!

    Watu wengi wanapoulizia tairi, mara nyingi wanawaza bei kwanza. Lakini kama unajua thamani ya gari yako na usalama wa watu uliobeba, huwezi kuacha kuliwaza jina moja tu: DUNLOP. Kwanini mimi nawashauri watu Dunlop? Hizi hapa ni sababu chache za kishkaji: 1. Hawa ndio mabingwa wa historia Ukweli...
  14. M

    Kwanini kumekuwa na motivation speaker wengi Sasa hivi hasa katika uwekezaji wa hisa, hatifungani

    Wadau tutafakari wote pamoja,kwanin Sasa hivi kumekuwa na wanaojita washauri wa uwekezaji wengi hasa,wanashauri mambo ya hisa,hatifungani Kwani hawashauri watu wawekeze katika uwekezaji wa viwanda na biashara Kuna nini nyuma Hadi uhamasishaji umekua mkubwa Kila mtu nimshauri wekeza kwenye...
  15. The Watchman

    Serikali yapitisha mabadiliko ya katiba Simba, uwekezaji sasa njia nyeupe

    Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo. Ikumbukwe Februari 16, 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul...
  16. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  17. Roving Journalist

    Balozi Matinyi akutana na wawekezaji wa Sweden, aelezea fursa za uwekezaji

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Chama cha Wafanyabiashara wa Sweden na Afrika, kilichofanyika tarehe 6 Februari, 2026...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Samia: Tumeboresha sera zetu kuvutia uwekezaji zaidi Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia uwekezaji wa kimataifa unaozingatia uhalisia wa kifedha na mipango ya muda mrefu. Akihutubia mkutano...
  19. Masalu Jacob

    Uwekezaji na Uchumi Tanzania: Vipato vya wananchi viheshimiwe

    Habari Tanzania ! Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu. Karibu. Y = C + S ni sawa na kusema; Y= C+ I Hii maana yake; Y = Income/ Kipato C= Consumptions/ Matumizi S = Savings/ Hifadhi I = Investment/ Uwekezaji Nawaletea mambo kwa...
  20. DogoWaNjombe

    Uwekezaji wa Trilioni 17 kujenga viwanda Pwani unaibua maswali muhimu: Serikali ijitokeze ieleze uhalisia wa kinachoendelea

    Juzi niliona taarifa inaenea kwenye vyombo vya habari kuhusu Mkataba wa ujenzi wa viwanda Pwani.Katika muktadha wa mkataba huo wa uwekezaji unaotajwa kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 7, ni muhimu kwa Serikali kueleza wazi iwapo ilifanya tathmini huru na ya kina (due diligence) kuhusu...
Back
Top Bottom