uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi, madaraka ni mapambo ya muda - usijisahau

    Kiongozi si lazima awe mtu aliye katika nafasi ya mamlaka au mwenye cheo. Kimsingi, dhana nzima ya nafasi na vyeo ni mpangilio wa muda, ambao wakati mwingine hukuzwa mno na kutiwa nakshi isiyo sahihi. Kwa bahati mbaya, wengi wakishapata vyeo/madaraka ‘hupoteza fahamu’ waziwazi! Tumewaona...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Yanga ni mfumo wa uongozi. Msolla na Mwakalebela waondoke kwanza

    Habari wadau, Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze. Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya. Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa caf champions league mapema kuliko yanga yangu kwa staili yetu ya kuwapa vyeo kina Msolla. Wazee...
  4. JamiiForums Tanzania DC Jokate Mwegelo na Uongozi wenye tija

    Ama kwa hakika Tanzania ingepata viongozi wenye kujitoa bila kujali maslahi yao binafsi,ubabe,majivuno,ukandamizaji na kiburi cha madaraka nchi ingesonga sana hii Kwa anayoyafanya huyu binti kule Kisarawe hakika yanafaa kuigwa,sema tu nature ya wakazi wa wilaya yenyewe sio wachakarikaji...
  5. JamiiForums Tanzania Muelekeo wa Uwekezaji nchini chini ya uongozi wa Prof. Mkumbo, Tunatokaje tulipo?

    Kuna msemo kuwa ili kupata matokeo yasiyo ya kawaida, ni lazima kwanza kufanya kitu kisichokuwa cha kawaida . Sote tunakubaliana kuwa ili kukuza uchumi wetu, kwa vyovyote vile ni lazima tukuze uwekezaji wa kutoka nje lakini pia wa ndani ya nchi. Hata hiyo sio tu kwamba kasi ya uwekezaji kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ilipofikia katika nyanja za uongozi

    Kidogokidogo tutafika katika nchi ya ahadi. Ni suala la muda tu, angalia video hadi mwisho tafadhali.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kweli

    Vigezo vya kupima viongozi wetu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…