uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

    Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania. CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi. Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Yanayoendelea ni taswira ya Uongozi tulionao

    Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani: "Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine." Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani. Huyu ni shahidi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake Barani Afrika watakiwa kuchangamkia Fursa za Uongozi

    Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

    Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania. Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
  8. JamiiForums Tanzania Waliopewa jukumu la uongozi ngazi za chini wanadidimiza nchi

    Aisee serikali inabidi iangalie sana kwenye baadhi ya mambo laa sivyo waliopewa jukumu la uongozi ngazi za chini hizi wanadidimiza nchi 1. Mtendaji kata nyumba ya serikali anaipangisha anakuwa anapata hela ya mboga 2. Mtendaji kata ameuza maeneo ya serikali (maeneo kuzunguka ofisi ya kata)...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi (Zanzibar) afanya mazungumzo na uongozi wa Posta Zanzibar

    WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni pamoja na kuwa tayari kufa kwa ajili ya watu unaowaongoza. Nimeliona hili kwa Magufuli na Mbowe, siyo kwa Lissu na Lema

    Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja. Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo...
  11. JamiiForums Tanzania Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  12. JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

    Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu. Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Inauma, inasikitisha, inakera sana, na inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na Safari ya Uongozi

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  15. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
  16. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli, jambo ambalo linaendana na kauli maarufu ya Chama Cha Mapinduzi inayosema "Nitasema kweli daima...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa uongozi wa CHADEMA

    Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu. Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu WA CCM. Maana Kwa hapa ndani wamewekewa vikwazo vingi na ilihali NI haki Yao. Pia NASHAURI...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uongozi sasa baada ya kupatwa kwa miaka mitano iliyopita!

    Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu. Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa, kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
  20. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…