Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi.
Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.
CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.
Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe...
Alisikika Jaji Mkuu kwenye hafla ya kuapishwa Jaji Siyani:
"Hukumu zenu zizingatie mitizamo ya mihimili mingine."
Tulipo sasa tumemalizana na shahidi ambaye ushahidi wake umepokelewa kama ulivyo. Hii ni pamoja na kukutwa akiwa na maandiko ya chabo yaliyo batili kizimbani.
Huyu ni shahidi...
Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC.
Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee.
Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania.
Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
Aisee serikali inabidi iangalie sana kwenye baadhi ya mambo laa sivyo waliopewa jukumu la uongozi ngazi za chini hizi wanadidimiza nchi
1. Mtendaji kata nyumba ya serikali anaipangisha anakuwa anapata hela ya mboga
2. Mtendaji kata ameuza maeneo ya serikali (maeneo kuzunguka ofisi ya kata)...
WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
Kiukweli hata kwenye mafundisho ya dini tunaambiwa mchunga mwema wa kondoo hutangulia mbele ya kundi na kuwapa ishara kondoo kila kitu kibaya kinapokuja.
Hayati Magufuli na mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe ni mfano mzuri wa wachungaji WEMA ambao wamekuwa tayari kutaabika na kunenewa kila lililo...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu.
Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kuuficha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Ni ukweli uliokuwa wazi kuwa hata kabla ya yeye kushika wadhifa huo wa juu wa Nchi watu wengi hawakuwahi kuutambua uwezo wake. Uwezo ni jambo ambalo huwezi kulificha mithili ya Sindano kwenye Koti. Mungu wetu angalikuwa wa ajabu sana kwa uwezo wake mkuu alionao kama angaliumba wanadamu halafu...
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli, jambo ambalo linaendana na kauli maarufu ya Chama Cha Mapinduzi inayosema "Nitasema kweli daima...
Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu.
Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu WA CCM. Maana Kwa hapa ndani wamewekewa vikwazo vingi na ilihali NI haki Yao.
Pia NASHAURI...
Huu ndo uongozi thabiti usio na mbwembwe wala majigambo lakini mambo yanatrndeka kwa kasi. Nakumbuka kipindi cha jpm zilikuwa ni kelele ndo kwa runinga na kuteka watu tu.
Angalia mama anavyomwaga ajira bila makelele ya magazeti eti serikali yamwaga ajira. Tumeshuhudia jeshi la mahereza, polisi...
Hii ni kwamujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya Chama kwamba ndugu yetu mzee wa darasa la uongozi na genge lake walijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono, waliratibu mbinu zote ili Samia asiwe Rais lakini wakashindwa,
kwa hali hii natamka rasmi kwamba sisi vijana wa CCM hatumtaki Polepole kwenye chama...
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.
Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.
Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.