uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hongera uongozi wa Yanga kusimama na Haji Manara, Simba wajifunze

    Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana Gwiji hilo pia katika kuitetea...
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC (hasa Uongozi) hapa ndipo huwa 'mnanikera' hadi 'nawangangeni' Kutwa hapa 'JamiiForums' hebu muwe mnanielewa sawa?

    Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi. Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono awamu ya 6 kuwarudisha wazee kwenye uongozi. Awamu ya 5 vijana wengi walikuwa VIFUTU

    Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa. Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ubalozi Norway waainisha Mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo wanawake kushika nafasi za Uongozi Zanzibar

    JUMLA ya wananchi 3,222 kisiwani Pemba wakiwemo wanawake 1,971 na Wanaume 1,251 wamefikiwa kupitia mikutano mbali mbali inayofanywa na wahamasishaji jamii ambayo inalenga kuhamasisha jamii kuacha dhana potofu na kuunga mkono jitihada za wanawake ili kupata haki ya kushiriki katika demokrasia na...
  7. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Viongozi wa Afrika kupiga Simu katika Matamasha na Kupongezwa ndiyo Ishara ya Uongozi wao Bora?

    Ukiona Kiongozi wa Afrika unasifiwa sana na Wewe ukakubali Kusifiwa na Ukakenua Mimeno yako jua Umesanifiwa na Umedharaulika mno.
  8. JamiiForums Tanzania Hali tuliyonayo hivi sasa itazidi kuwa mbaya zaidi, Ila..

    Ukimuuliza Mtanzania yeyote kuhusu hali ya maisha tuliyonayo nchini inavyozidi kuwa mbaya... Atapeleka lawama moja kwa moja kwa SERIKALI. Wanasiasa watalalamikia katiba na CCM. Mzazi akipokea taarifa mbaya ya matokeo ya mwanae shuleni... Lawama zinaenda kwa MWALIMU... Mwalimu anailaumu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  10. JamiiForums Tanzania Uongozi: Mambo ya Kibajeti na yasiyo ya kibajeti kiutendaji

    Habari za leo wana JF Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi. Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta apata Tuzo ya Kimataifa kwa Kutoa Uongozi Thabiti Bara Afrika

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana. Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  13. JamiiForums Tanzania Mnamaanisha nini kila siku kutuletea sura zilezile katika uongozi?

    Mwisho wasiku mkikaa kwenye vipaza sauti mnatusema tunawivu,ndio lazima tuwe na wivu haswa wivu wa maendeleo!. Haiwezekani kila wakati ktk nafasi za uongozi mnatuletea sura zilezile kwani hamuwezi kuibua watu wengine vijana wasomi wakashika hizo nafasi..? Nafikiri katika teuzi zenu muanze...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwaamini wanawake kwenye Uongozi wa juu wa Nchi

    Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo. Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais.. Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
  15. JamiiForums Tanzania Vitu vilivyopanda bei chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana. 1. Kuunganisha umeme. 2. Tozo za kutuma na kutoa hela 3. Mafuta ya kula 4. Umeme wa LUKU. 5. Nauli za usafiri. 6. Bei za vifaa vya ujenzi. 7. Mafuta ya Petrol/Diesel/ Taa. 8. Soda. 9...
  16. L

    JamiiForums Tanzania John Demujacor: Demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi

    Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CCM waanza rasmi kufanya kazi na wakina Makonda; wadai kundi lake litawasaidia kampeni 2025

    Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu amheshimu Mungu na kuamini mamlaka inatoka kwake na siyo Kwa wanadamu. Chama Cha mapinduzi kimekosa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  19. JamiiForums Tanzania Njiapanda kuelekea siasa safi na uongozi bora: Kutoka kutumia 'msuli' hadi siasa za 'ushawishi'.

    Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana. Angalau moja ya mambo ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo wazungu wamependa falsafa na uongozi mahiri wa Rais Samia, Je, wamemnunua kabisa?

    Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu! Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American Tuna Raisi Samia sasa, Mbunifu na mahili kuongoza na kuelekeza, ni mwanademokorasia haswaa na hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…