Wakati bingwa hili la usemaji na u afisa habari likiitumikia team asiyoipenda ya Simba lilipiga marufuku mashabiki wa Yanga kuhudhuria mechi ya CAf iliyohusisha Simba uongozi wa Simba ulitoa statement ya kujitenga na gwiji hilo kuhusu hilo na alisikitika sana
Gwiji hilo pia katika kuitetea...
Hebu sikieni Simba SC inahitaji yafuatayo tu na achani Kujambishwa ( Kupanikishwa ) na Propaganda za Usajili za Yanga SC kisha nanyi mnaingia Mtegoni Kwao na Kuharibu kila Kitu kisha Wao wanatucheka na Kutuona ni Mazuzu ( Majuha ) zaidi.
Najua mnanichukia sana tu ila kwakuwa nina Mapenzi na...
Awamu ya 5 iliwapa nafas za uongozi vijana wengi Sana. Lkn wakawa chanzo cha mateso na vilio kwa taifa.
Mifano tunayo. Kwa kuwataja wachache tu: Makonda, Sabaya, Heri James, Ali Hapi, Mnyeti, Gambo, Polepole, n.k
Ninapoona awamu ya 6 sasa inawarudisha kwenye uongozi wazee kama Kinana na Wasira...
Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023.
Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.
Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
JUMLA ya wananchi 3,222 kisiwani Pemba wakiwemo wanawake 1,971 na Wanaume 1,251 wamefikiwa kupitia mikutano mbali mbali inayofanywa na wahamasishaji jamii ambayo inalenga kuhamasisha jamii kuacha dhana potofu na kuunga mkono jitihada za wanawake ili kupata haki ya kushiriki katika demokrasia na...
Ukimuuliza Mtanzania yeyote kuhusu hali ya maisha tuliyonayo nchini inavyozidi kuwa mbaya... Atapeleka lawama moja kwa moja kwa SERIKALI.
Wanasiasa watalalamikia katiba na CCM.
Mzazi akipokea taarifa mbaya ya matokeo ya mwanae shuleni... Lawama zinaenda kwa MWALIMU...
Mwalimu anailaumu...
Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi'
Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
Habari za leo wana JF
Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi.
Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana.
Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
Mwisho wasiku mkikaa kwenye vipaza sauti mnatusema tunawivu,ndio lazima tuwe na wivu haswa wivu wa maendeleo!.
Haiwezekani kila wakati ktk nafasi za uongozi mnatuletea sura zilezile kwani hamuwezi kuibua watu wengine vijana wasomi wakashika hizo nafasi..?
Nafikiri katika teuzi zenu muanze...
Kwa mara nyingine tena Ms Leni Robredo atapita alimopita Carazon Aquyo na Gloria Aroyo.
Ni VC president na mgombea nafasi ya Rais..
Huyu ndio Samia wa Filipino 👇
Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana.
1. Kuunganisha umeme.
2. Tozo za kutuma na kutoa hela
3. Mafuta ya kula
4. Umeme wa LUKU.
5. Nauli za usafiri.
6. Bei za vifaa vya ujenzi.
7. Mafuta ya Petrol/Diesel/ Taa.
8. Soda.
9...
Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
Uwajibilaji, uzalendo na uadilifu ni vigezo muhimu kwenye Taifa huru linalotaka kuendelea. Ni nguzo muhimu Kwa chama Cha siasa kinachojali maslahi ya umma na njia pekee yakumfanya mwanadamu amheshimu Mungu na kuamini mamlaka inatoka kwake na siyo Kwa wanadamu.
Chama Cha mapinduzi kimekosa...
Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
Ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa ili kufanikiwa , inatakiwa kutumia akili na ushawishi mwingi huku ukitumia nguvu kidogo sana au usitumie nguvu kabisa. Ukifanya kinyume chake yaani kutumia nguvu za tembo na ushawishi sungura huwezi kuwa na mafanikio ya maana sana.
Angalau moja ya mambo ya...
Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu!
Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American
Tuna Raisi Samia sasa, Mbunifu na mahili kuongoza na kuelekeza, ni mwanademokorasia haswaa na hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.