uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

    Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila kitu. Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi! Palipo na ukweli lazima pasemwe...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba fanyeji usajili wa mshambuliaji (readmade) sio huyu mzungu

    Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi Simba ni sikio la kufa halisikii dawa: Mazoezi bado ya wazi

    Jana usiku wamepost picha zao wenyewe kwa raha zao kuhusu mazoezi yao wakijandaa na geita gold kuna raia wamehudhuria na kwenye hizo picha kuna mmoja kabisa anarekodi. Kabla wale wa comment za OYAA ACHA MAMBO YA KISHAMBA NA KIZAMANI hawajaanza embu soma alichowahi kuandika aliyekuwa katibu na...
  4. JamiiForums Tanzania Familia chanzo cha Yote

    UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla. Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Omari Kipanga ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) kuhakikisha ujenzi wa mabweni unamalizika

    Na WyEST, MOROGORO Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) ameutaka uongozi wa chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi (VETA) Morogoro kuhakikisha ujenzi wa mabweni kwa ajili ya wanafunzi chuoni hapo unamalizika ifikapo tarehe 1 Septemba mwaka huu. Mhe. Kipanga ameyasema...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta, Arap, Kibaki, Kenyatta, Arap - huu ukiritimba wa Uongozi ndio hayati Magufuli alipambana kuufuta!

    Haiwezekani Taifa lenye Watu zaidi ya milioni 40 viongozi wakawa wanajirudia kutoka KOO zile zile. Kamwe hamtaendelea kama Taifa ila mtabaki mnazitajirisha koo hizo hizo. Hili jambo hayati Magufuli alilipinga sana. Mungu wa mbinguni akubariki sana.
  7. JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

    Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja. Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando. Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Salamu kwa uongozi wa Simba

    WAKUU. Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching. Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili. 1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia analeta siasa na ubabe kwenye uongozi wa mpira nchini

    HIi leo Rais Wa TFF amesikika katika mkutano na viongozi wa CAF na FIFA huko Arusha akiita wanafamilia wa mpira watu wenye mambo ya "kijinga-jinga". Kauli hii ya kitemi kutoka kwa Rais wa mpira nchini, ni muendelezo wa ubabe na jeuri ambayo anaoionyesha mbele ya jamii ya wanamichezo nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Sakata la Kizz Daniel: STR8UP Vibes na Uongozi wanazungumza na wanahabari muda huu

    Baada ya kushindwa kutoa burudani Agosti 8, 2022 kwenye Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria alikamatwa na polisi na kuweka kituo cha Oysterbay jijini Dar es salaam. Leo Mwimbaji huyo akiwa na Kampuni ya Uandaaji matamasha ya burudani ya STR8UP Vibes pamoja na uongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Kongole Wallace Karia kwa Uongozi madhubuti

    Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ... Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu world cup ya wadada U17 pale India, tukija kwa upande wa Sponsorship ktk ligi yetu kuu pia ume...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Msemaji Ahmed Ally kuweni na 'Adabu' na Sisi 'Mashabiki' wa Simba SC juu ya 'Usajili' wa 'Manzoki' sawa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally jana Asubuhi ukiwa Wasafi FM ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Mchana au Alasiri mtamtangaza rasmi Manzoki kuwa Mchezaji Wetu na haikuwa hivyo. Nilitegemea Wewe kama Mweledi ( Professional ) baada ya muda huo kupita basi Kiungwana ungetuomba Radhi ila...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyofanya Rais Samia ndani ya siku 503 za uongozi wake

    1. Rais Samia amewezesha kuondolewa kodi (Zero rating) kwa mbolea inayozalishwa hapa nchini na mahitaji mengine muhimu ya wakulima kama vile mbegu, vifaa katika mashamba ya maua na mbogamboga n.k 2. Rais Samia amewezesha Kuondolewa kwa kodi katika malighafi zinazotumika kutengeneza mitungi ya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni kama mali ya Familia

    Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote waliobaki na unavyoondolewa haimaanishi kwamba umefanya vibaya sana na ndio maana tunasema Uongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki bila uongozi wa mzungu itakuwa ni genge la maigizo yasiyo na tija

    Leo na kesho kutakuwa na mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika mashariki huko Arusha. Kwa mtazamo wangu mkutano huo ni wa upotevu wa muda, fedha za wananchi kwani hakuna lolote la maana linajadiliwa na kufikia hatua ya utekelezaji. Mengi ya makubaliano ya jumuiya hii huishia kwenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, Jeshi la Polisi lilihitaji taswira mpya ya kiuongozi na kiutendaji

    Emmanuel Kalule 20.07.2022 Leo mapema majira ya saa nane usiku, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi ya Polisi nchini kwa kumteua aliyekua Kamishna wa Polisi Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu mpya wa Jeshi la polisi nchini (IGP). IGP Wambura akichukua...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo na kongamano kubwa la mafunzo ya uongozi na uwajibikaji

    KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
  19. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Naandaa maandamano Mwanza kumuunga mkono Genta vs uongozi wa simba

    jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za washkaji wangu wa tawi la shinyanga na misungwi huko karibu na kolomije home to the greatest Daud...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…