uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

    Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini. Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Klabu ya Yanga acheni kuwajaza upepo mashabiki wenu

    Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani. Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi unaowajibika ni mhimili imara katika mapambano dhidi ya changamoto zinazotukabili

    Habari za muda huu popote pale ulipo. Ni matumaini yangu sote ni wazima wa afya, ama kwa yule aliepatwa na mtihani wa maradhi tunamuombea shifaa apone haraka kwa idhini ya aliyetuumba. Moja kwa moja kwenye neno. Kumekua na kukosoa pale mambo yasipoeleweka, kupongeza pale mambo yanapoenda sawa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania UONGOZI WA EFM: Huyu mtangazaji wenu mnazi wa Yanga, Twalib Omar aka Muwa, sio proffessional na anapiga kelele tu kuutetea Uyanga wake

    Amani iwe nanyi Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya...
  7. JamiiForums Tanzania Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

    Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
  8. JamiiForums Tanzania KERO: Stand ya Nzega ni chafu imejaa takataka za vifungashio vya vyakula na plastic

    Ni aibu kubwa kwa uongozi wa Nzega na wana Nzega wenyewe..ukiingia ktk kile kituo cha mabadi kwa mujibu wa wao wenyewe wanavyo kiita. Yaani ni takataka zimezagaa maeneo yote vifungashio vya kuwekea vyakula tu aibu gani hiyo na viongozi mpo mmekaa tu maofisini mnashindwa kuweka hata dustbins ...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

    Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva...
  10. JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuingia kwenye Siasa na Uongozi

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........ Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu mleta mada, lakini pia fundisho kwa wengi wetu tunaopenda kujishugulisha na siasa na uongozi. Mimi ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawakena uongozi - I

    Wakuu amani kwenu. Wadau wengi wamenitaka niseme kuhusu msimamo wangu juu ya wanawake na uongozi, hasa wakitolea mifano kadhaa ya wanawake walioongoza katika zama za maandiko. Hoja hii nikiri wazi kuwa imeligawa kanisa kwa kiasi kikubwa sana, kwani wako wanaoamini kuwa katika Agano Jipya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawakena uongozi - I

    Wakuu amani kwenu. Wadau wengi wamenitaka niseme kuhusu msimamo wangu juu ya wanawake na uongozi, hasa wakitolea mifano kadhaa ya wanawake walioongoza katika zama za maandiko. Hoja hii nikiri wazi kuwa imeligawa kanisa kwa kiasi kikubwa sana, kwani wako wanaoamini kuwa katika Agano Jipya...
  13. JamiiForums Tanzania IGP Wambura katika kitu ambacho ni aibu kubwa kwa uongozi wako ni utawala wa Panya Road

    Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi la polisi watoto WADOGO WANAFANYA Jiji la Dsm watu walale saa kumi, hapana hapana uwezo wa askari...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha Dar es Salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa

    Ndugu zangu hayo ni mapendekezo yangu binafsi baada ya kuwa nimekaa kwa muda mrefu nikifuatilia utendaji kazi wa mh Rais Samia na kufikiria namna mh Rais wetu mpendwa alivyoipokea na kukabidhiwa nchi yetu Katikati ya wingu zito la majonzi na simanzi kubwa ya kuondokewa na Rais wetu Hayati...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Uongozi sio umungu mtu

    Dhana ya uongozi katika nchi nyingi za Afrika,imekuwa ikitafsiriwa na kumaanishwa tofauti na dhana halisi. Uongozi umekuwa ukichukuliwa kama daraja la kujitwalia ukwasi(utajiri),utukufu(umungu Mtu) kwa miaka mingi tangia kipindi cha mkoloni hata baada ya uhuru. Dhana hii potofu ya uongozi...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Aiba, malezi, maadili; kuvunja mnyororo wa uongozi mbovu

    Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo sasa. Wengi wetu tunakubalina na dhana hii, na ndiyo sababu tunakuwa wepesi kuwaanyooshea vidole vya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Takwimu ziwaongoze wananchi katika kujenga uchumi

    Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna mipaka wala haujaeleweka kikamilifu. Bado kuna mambo mengi ambayo hupatikana kwa kushtukiza au yapo...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Ipi nafasi ya vijana katika Siasa na Uongozi

    UTANGULIZI Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka ishirini na moja, huku haki ya kikatiba ikimtaka kijana mwenye umri wa miaka 18-19 na 20 kupiga...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunaweza kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi Tanzania na Afrika

    Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani na ni bara lililobarikiwa kuwa na utajiri mkubwa ulimwenguni. Afrika pia inatajwa kuwa ni bara muhimu la kimkakati katika maendeleo ya dunia, Lakini Afrika ina historia ambayo ni giza tupu na imejawa majonzi, manung’uniko,jasho na damu. Historia ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…