uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Pakistan na siasa za aina yake, uongozi huko ni jasho na damu

    Hili taifa miaka yote tangu kuanzishwa kwake huwa liko katika migogoro ya kisiasa. Mawaziri wake wakuu rasmi wote 18 waliowahi kuingia madarakani hakuna aliyewahi kumaliza awamu yake ya uongozi. Lazima moja kati ya kuuwawa, kupinduliwa, kuondolewa kwa kura ya kutokuwa na imani au kujiuzulu na...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Bashe punguza kujiamini kana kwamba una hisa ki uongozi na aliyekuteua

    Bwana mdogo Bashe kwa siku za hivi karibuni umeonyesha hali ya kujiamini iliyopitiliza huku ukisahau kwamba wewe ni mteule na mda wowote uteule wako unaweza kutenguliwa. Tatizo la vijana wengi huwa mnavimba vichwa mnapopata kuaminiwa na kusifiwa na mteule japo kwa mambo kadha wa kadha...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mungu anaratibu anguko la CCM. Hakutakuwa na ombwe la uongozi

    Umofia kwenu nyote, Nimefuatilia kwa jicho la uchambuzi nimengundua Kuna kani (nguvu) isiyo ya kawaida inatendakazi kwa namna ya ajabu sana. Niliwahi kuandika kuwa Mungu ameondoa kauli kwenye midomo ya watawala kuanzia juu hadi ngazi za chini. Mungu amesikia kilio chq Watanzania. Mungu...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhalini tutengeeni Siku Maalum kwa Sisi Mashabiki 'Kuwapiga' Wachezaji wetu Wanaozingua

    Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni..... 1. Clatous Chama 2. Henock Inonga 3. Said Ntibanzonkiza 4. Pape Ousmane Sakho 5. Shomary Kapombe 6. Kibu Denis 7...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miradi ya uwekezaji nchini imeongezeka kwa 16.5 ndani ya Mwaka chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeendelea na juhudi mbalimbali za kuhamasisha na kuvutia uwekezaji nchini. Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, bungeni hii leo Mei 04 2023 Waziri wa Wizara hiyo, Dkt Ashatu Kijaji ameeleza kuwa katika kipindi cha...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  8. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa akoshwa na uongozi wa Rais Samia

    Spika mstaafu wa Bunge, Mzee. Pius Msekwa, amesema maridhiano ya kisiasa vya yaliyofanywa na serikali dhidi ya vyama upinzani, yamedumisha utulivu na kuondoa migogoro ya kisiasa huku akisisitiza njia sahihi ya kutatua kero za muungano ni njia ya mazungumzo. Msekwa alitoa kauli hiyo nyumbani...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mawaziri, Wakurugenzi, wakuu wa Idara, mikoa na wilaya' wengine Serikali iwaagizie baiskeli ili kuokoa uchumi unaokufa

    Shalomu Tanzania' Kwanza, itasaidia sana, pesa nyingi zilizoelekezwa kununua magari ya viongozi, bajeti yake ielekezwe kwenye maendeleo. Bajeti ya kunywesha mafuta magari hayo kwa mwaka mzima, pia ielekezwe kwenye maendeleo na bajeti hiyo itumike kama nyongeza ya mshahara kwa wafanya kazi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uongozi sio uongeaji wala maneno bali ni vitendo na utekelezaji. Tunawatumia viongozi waongeaji badala ya watendaji

    Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo. Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango. Viongozi wa kweli wanafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha mipango yao inafanikiwa na wanajitahidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na Mwekezaji Mo Dewji mambo madogo madogo yanayotuaibisha kama haya yawe Historia Klabuni Kwetu

    Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba SC wana manung'unuko ya Moyoni baada ya kutopewa / kutolipwa Posho zao kwa wakati ambazo Sisi...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa wahuni hawafai uongozi, yafaa kuelewa

    Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  17. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mipango ya upigaji tu: Kwanini Polepole kasema wahuni hawafai uongozi - Mfano wa TANESCO chini ya waziri Januari

    Kwa nini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa TANESCO chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem TANESCO mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Manula out Kariakoo derby ya kesho

    MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa. Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki

    Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo wao ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu. Kwa hiyo, ni muhimu kuwa na...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni nguvu,ushawishi au mamlaka?

    Ndugu zangu Sitapenda kuleta mizunguko mingi kwanza tayari tumeshachoka na siasa za nchi kwa kuendelea kujadili bila kufanyiwa mabadiliko katika mifumo(input or output) katika maswala tofauti kama vile uchumi,siasa,jamii n.k Leo naomba kujibiwa ni jambo gani linafanya mtu kuwa kiongozi...
Back
Top Bottom