uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Upinzani, jiandaeni basi walau hata kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani

    kiujumla, upinzani umekata tamaa kabisa, licha ya ukweli kwamba ukata wa fedha za kufanya mikutano ya hadhara, umekita mizizi kwenye vyama vyao. hakuna uhakika wa chochote katika chaguzi zijazo, licha ya kwamba mazingira sawa ya kufanya siasa yamewekwa na serikali iliyopo madarakani.🐒...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Jinsi chama cha upinzani kinavyomsulubu Edgar lungu ambaye aliachia uongozi kwa amani

    Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move out of my house without being accosted and challenged by police, who drive me back home," Mr Lungu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa TFF

    Fainali ya Kombe la CRDB itakuwa kati ya timu ya YANGA na AZAM. Uongozi wa TFF ulipendekeza kuwa fainali hiyo uchezwe Mjini Babati lakini kutokana na wingi wa mashabiki/ watazamaji na ukubwa wa uwanja unaokadiriwa kuchukua watazamaji wachache. Ninaishauri TFF kuwa mchezo huu uhamishwe kwenye...
  5. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

    Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake. Hakuna...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

    Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa: 1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo 2. Nickson Simon 'Nikki wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kabla ya kuwaza jinsi gani ya kuiboresha Elimu zaidi nchini, tuiheshimu na tuipe nafasi Elimu tuliyonayo sasa katika nafasi mbalimbali za uongozi nchi

    Kiongozi ni mtu mwenye maono ambayo yatakayowawezesha watu wake kufikia malengo flani waliyopanga au aliyonayo mwenyewe kwa maendeleo ya watu anaowaongoza na jamiii kiujumla. Uongozi ni kitu muhimu kwenye kila kitu(ngazi) iwe Taifa, familia, Taasisi, Biashara na hata katika maisha ya mtu...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

    Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA nawapa angalizo: Msivurugane kwa safu ya uongozi uliopo, mtajuta!

    Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone chaguzi hizo , zifanyike baada ya chaguzi za taifa zijazo. CHAGUZI KATIKA VYAMA VYOTE DUNIANI...
  13. Gilbert Prudence

    JamiiForums Tanzania Uongozi na utu

    Hivi wakuu wa mikoa hawaoni kazi Makonda anayofanya ili waige au mikoa mingine wananchi hawana matatizo. Tujifunze kitu watu kama Makonda hupita lakini katiba mpya uishi
  14. uran

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    #nguvumoja# VIKOSI VINAVYOANZA. AZAM FC SIMBA SC. Updates... Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa. Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli. Updates.... 04' Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi. 20' Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana. Azam 0-0...
  15. Thureya khamis

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  16. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi inahitaji uongozi shirikishi ili kuondoa malalamiko, na chuki dhidi ya Serikali

    NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI. Utangulizi: "Tanzania tuitakayo" Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo. Kama...
  17. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Uongozi wa Vijiji ni Barabara ya Maendeleo Madhubuti

    Ni miaka mingi sana imefika Tangu taifa letu lipate uhuru toka likiitwa Tanganyika na leo ni Tanzania baada ya kuunganisha jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Kumekuwa na mipango mingi sana tangu mwaka 1964 ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania. Kwa kiasi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

    Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
  19. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Bado zipo sababu kwa familia ya Lissu kuishi Ulaya? Je Lissu haoni kuwa jambo hili linampunguzia uzito kisiasa?

    Najua, Wengi wenu badala ya kujikita kwenye hoja, mtanijadiri na tena siyo tu kunijadiri, ila ni kwa kutoa matusi! Ni kweli hatuwezi kuwa na mtazamo sawa, na hii inakuja ili kutufanya tuonekane ni wanadamu na mambo yetu ili yawe sawa, tunahitaji kuwa na migongano ya kifikra na hatimaye kwenda...
  20. Mjuba og

    JamiiForums Tanzania Tangu kufariki Askofu Kulola, Kanisa la EAGT uongozi wake wa juu umeshindwa kuliunganisha kanisa bali kusababisha matabaka

    Tangu alipofariki aliyekuwa muasisi wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania, Dr. Moses Kulola, uongozi uliopewa dhamana kuliongoza kanisa hilo umeshindwa kuliunganisha kanisa hilo badala yake wamekuwa ni viongozi wanaolisambaratisha kanisa kwa mpasuko, matabaka, ukabila na kwa...
Back
Top Bottom