Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia.
Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe
====
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi.
Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio ma-first born wameanza kurudi nyuma.
Komaeni makamanda, Muda ndo huu haiwezekan chairman...
Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo.
Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access...
Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini.
Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake wa juu tena nafasi ya makamu mwenyekiti kwa kutweza utu wake huku mwenyekiti akicheka wanayoyafanya...
Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18
Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata bado ni Kiongozi mkuu wa chama cha Jubilee tangu mwaka 2016.
Zimbabwe, Morgan Tsvangirai alikuwa...
Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu umuhimu wa kua na subra na kutathmini mambo kwa kina na umakini mkubwa kabla ya kufanya maamuzi na...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!?
Ni nani tumpe...
Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe.
Ratiba za mkutano yake na hata contents za mkutano huwaga ni za kibinafsi Lakini anatumia platforms za Chadema. Hakuna jambo analofanyaga Tundu...
Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper.
Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi.
Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis".
Katika nadharia ya...
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi
Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu.
Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.
Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?
Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel?
Subirini, sahizi Israel...