uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya CHADEMA wavuruga pesa

    Kwanini kikao kisifanyike makao makuu? Badala ya kufanya Bagamoyo?
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tazama hizi video 3 ili ukiri kuwa bado wazee kama Wasira wanahitajika kwenye uongozi wa nchi yetu.

    Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu. https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jitihada za Vyama vya Siasa wanazozifanya kwa wanaume, juu ya uongozi kwa mwanamke

    Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo . Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari anayohaki ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyoko chini ya Mamlaka ya...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga na Wapare wanaogopwa na kubaguliwa?

    Mimi niwe muwazi tu Baba Mpare na Mama Mchaga na nimekulia Arusha hivyo pia ni Chuga boy-tough guys. Nimefuatilia kwa miaka mingi sasa wachaga na wapare wanaogopwa sana kwenye uongozi. Nakumbuka wakati fulani mtu anakuja na kulalamika kwamba kuna professor wengi wachaga hiyo ilikuwa miaka ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lissu aonyeshe Uongozi katika suala la akina Halima Mdee na Wenzake,aachane na hayo mambo yake

    Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao. Uongozi siyo Sheria tu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kwa CHADEMA kufanya matembezi ya mshikamano nchi nzima kuunga mkono uongozi mpya na demokrasia ndani ya chama

    Mabalishano ya uongozi yaliyotokea hivi karibuni CHADEMA yamepokelewa vizuri sana na wapenda demokrasia ndani na nje ya nchi. Kuna umuhimu kwa wanachama wa CHADEMA na wapenda demokrasia wote kupongeza juhudi hizi kwa njia iliyotukuka kupitia matembezi ya mshikamano nchi nzima.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nashauri CHADEMA tufanye matembezi ya mshikamano kuunga mkono chama na uongozi mpya

    CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia nchini. Nashauri uongozi wa CHADEMA katika siku moja yafanyike matembezi ya mshikamano kila mkoa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya nyumbani sio kikwazo tena kwa Wanawake kugombea uongozi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu. Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
  12. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  13. Arafati Kilongola

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  14. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na Ujenzi wa Uongozi wa Kitaifa kupitia Elimu ya Seminari

    Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi bora wa taifa. Seminari sio tu ni shule za kiroho, bali pia ni vyuo vinavyolea viongozi wa kitaifa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Siasa, Uongozi na Utawala

    Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na utatumiwa popote ulipo.
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania PhDs zinapishana tu uongozi CCM

    Nakipenda Chama Changu kwa kuheshimu Elimu. Fikiria ni mwendo wa PhD kupokezana vijiti kasoro Namungo Express
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wagombea uongozi wa chadema ngazi ya taifa wana misimamo ipi na mikakati gani kuhusu suala la kupambana na kutokomeza ushoga nchini Tanzania?

    Maana wathirika wakubwa wa fedheha hii ni pmoja na watoto wao, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama wa chadema wafuasi wa chadema na waTanzania kwa ujumla.. Je, ni ipi hasa mipango mikakati yao katika kukabiliana na ufirauni huo, ikiwa watapata fursa ya kuiongoza chadema Taifa? au itakua ni aibu...
  19. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado haijakomaa kidemokrasia, mioyo na fikra za baadhi ya wagombea uongozi wa kitaifa

    Ni wazi ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia ndani chama cha demokrasia na maendeleo chadema, miongoni mwa wanaogombea uongozi wa kitaifa, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wanachama na mashabiki bado haijapevuka vizuri mioyoni na kwenye fikra zao. Shari inayombatana na masharti juu ya...
Back
Top Bottom