uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna vita ya chinichini inaendelea dhidi ya viongozi wa dini wanaokosoa Serikali

    Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA? Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko ataka Uongozi wa Call centre ya TANESCO ufumuliwe

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe. Maagizo ya Dk Biteko kwa Tenesco ni kufuatia kutotekelezwa kwa maagizo yake ya aliyoyatoa mwaka jana ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mgombea uongozi wa CHADEMA ngazi ya Taifa anaweza kuenguliwa kabla ya Uchaguzi asipojirekebisha

    Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake. Kwa makusudi, mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
  5. JamiiForums Tanzania Nina mawazo tofauti sana na ninyi nyote juu ya hii saga ya Mbowe/ Lissu na uongozi ndani ya CHADEMA

    Heshima kwenu Wakuu, Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu. Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo sio mazuri DRFA, uongozi wa Lameck Nyambaya haijatulia

    BUNDI anaelekea kulia katika Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kwa sababu Mwenyekiti wa chama hicho, Lameck Nyambaya kubananga katiba yake. Tangu achaguliwe kushika wadhifa huo kwenye uchaguzi uliofanyika karibu miezi minne, Nyambaya hajaitisha kikao cha XCom ambacho kingefanikisha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  8. JamiiForums Tanzania Je chadema kutoweka ukomo wa kugombea nafasi ya uongozi walikosea?

    Salaam wana Jamvi,ninavwatakieni jumapili njema yenye baraka tele.baada ya kusema hivo,hebu nirudi kwenye mada yangu.kumekuwa na shinikizo kubwa sana la watu kutaka chadema wa badilishe kifungu kwenye katiba Yao kina cho ruhusu mtu kugombea nafasi yoyote bila ukomo mpaka wanachama watakaposema...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

    Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
  10. JamiiForums Tanzania Dk. Lwaitama ainanga kambi ya Lissu, asema kwamba kama kupendwa hata DiamondPlatnumz anapendwa sana, lakini huwezi kumpa uongozi wa chama

    Man'gana ghasarikile. Dk. Lwaitama asema hayo wakati akihojiwa na SAUTi DIGITAL. Kwamba uongozi wa chama ni suala nyeti zaidi ya kupendwa tu. Dk. Lwaitama alieleza kwamba kama ni kupendwa, Diamond Platinum anapendwa kuliko hata Lissu lakini huwezi kumpa uongozi wa chama. Dk. Lwaitama alisema...
  11. JamiiForums Tanzania Naupongeza uongozi wa Simba kuchukulia chanya maoni ya Chasambi

    Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngome ya upinzani Uyui yaanguka, Viongozi wa CUF wahamia CCM, wakisifia uongozi wa Rais Samia

    Wanachama Wawili wa Chama cha Wananchi CUF wa Kijiji cha Mabama Wilayani Uyui mkoa wa Tabora Husseni Hammis Kwabi Aliyekuwa Mjumbe mkutano mkuu CUF Wilaya Uyui na Mashaka Said Lintu Aliyekuwa Mjumbe kamati tendaji, Mkurugenzi wa Fedha na Meneja Kampeni wa Chama cha CUF Wilayani Uyui wametimkia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sultan Jamsid bin Abdullah aliyepinduliwa 1964 kurejea Zanzibar Januari 9 2025: Je apewe nafasi katika uongozi? Urejeo wake ni shinikizo la Oman?

    Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964 Kwanini Mapinduzi Yalitokea Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah, kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Wazanzibari wa asili ya Kiafrika...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa hekima 7 za uongozi mwaka 2024 na za kwenda nazo mwaka 2025

    Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi. Twende sasa moja kwa moja kwenye mada yetu ya niliyocopy and na kupaste. HEKIMA 7 ZA UONGOZI...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Uongozi wa hospitali ya Bugando ujitathimini kwenye kitengo cha Dailysis

    Kama mada inavyonieleza Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha damu Suala la kuwatoa wagonjwa kwenye mfumo baada ya kumaliza matibabu nalo ni kero wahudumu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

    Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine? N. B: Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
  18. JamiiForums Tanzania Lissu ana akili ila sio ya siasa na uongozi

    Nasema hivi Chama hawezi achiwa Lissu. Mimi namkubali sana Lissu lakini sio aachiwe Chama. Hapo NO kabisa aisee. Staili ya kuchafua wengine ili upate uhalali wa kuwa mwenyekiti hapo hapana. Kwenye sanduku la kura huyu tayari ameshashindwa. Nasema hivi kama angekuja kwa staili ya kutulia...
  19. JamiiForums Tanzania Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…