ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。 Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnahangaika sana na Speculations zenu ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi ama kumbadilisha au kumtumbua Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba

    Na sababu Kubwa ninaijua Mimi na nadhani hata hapa JamiiForums nilishawahi kuisema. Fanyeni Kazi msipoteze muda.
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  5. PSL god

    JamiiForums Tanzania Hivi story za IDDI MAKENGO ni za ukweli au za kutunga?

    Wakuu hii story nimeikuta huko FB kwa famous account ya iddi makengo je zinakuwaga na ukweli wowote!? Nifanye nini nimetembea na mchumba wa wifi yangu kajaua lakini haongei chochote! Ndoa yangu ina miaka saba, na kwa muda mrefu mimi na mume wangu tulikuwa tunaelewana vizuri. Maisha yalikuwa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Wasomi Kusoma VETA, Japo ni Hoja Chungu, Ndio Ukweli Wenyewe Kama Kidonge Kichungu, Ndicho Kinachotibu Homa!. VETA Ndio Tiba ya Joblessness!

    Wanabodi, Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA. Shuhudia hizi Testimonials.... https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, kuwa wahitimu wa Chuo Kikuu, wakasome VETA, imepokelewa kwa hisia tofauti, zenye sintofahamu...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

    Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli investigation zile za kweli serikali yetu imekuwa ikizipinga sana na ikitokea serikali ushindwa vibaya sana.

    Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5. Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli

    Mtu anayekupenda hawezi kunyonya uchi, hawezi kukubali kunyonywa uchi, Hawezi kukuingilia kinyume na maumbile, Hawezi kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile, Hawezi fanya kama anakomoa mapenzi ni raha na starehe Kwa pande zote. Na ikuchome na kukuingia hakuna ufundi chini ya jua.
  11. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  12. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea

    Wanangu majobless, Hakuna kitu inauma kama kazi za kujitolea. Yani unakuta hadi mwaka unakata, ukiangalia umri unaenda dah noma sana.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa ambaye hatamuelewa hapa Mchambuzi Oscar Oscar kwa huu Ujumbe wake Murua na wa Ukweli kabisa basi akapimwe Akili Mirembe haraka sana

    "Kama kweli mmepeleka Basi lenu Bunju, basi hata wale Wahuni wa juzi Uwanjani kwa Mkapa mliwatuma nyie" Oscar Oscar. Huenda Oscar Oscar nae kausahu ule Uchambuzi kuwa Wapumbavu na Vibaka wengi Kariakoo wanatoka huko huko.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Karia uongozi wa TFF umemshinda huo ndo ukweli

    Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali ukubwa juventus walishashushwa daraja na ac milan kukatwa point Mpira wetu ili uendelee tunatakiwa...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

    Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru. Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani. Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench. Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu ukizingatiwa, basi suluhisho la kugombania Jerusalem na Dome of the Rock itapatikana

    Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
  18. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kazi ya urubani imekuwa rahisi sana ukilinganisha na zamani walivyokuwa wanaheshimika

    Urubani wa siku hizi hata usiyejua unaweza kusomea ili mradi zile kanuni ambazo utafata kwenye elimu zinazofundishwa. Ukilinganisha na zamani yani ndege nyingi zilikuwa zinaitaji marubani zaidi ya watu mpaka wanne kutegemea na aina gani ya ndege. Ukilinganisha na leo yani kila kitu kimewekwa...
  20. Dhul Qarnainn

    JamiiForums Tanzania "Wake Wengi Katika Uislamu: Hekima, Masharti na Ukweli Usiojulikana!"

    Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an: "Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine; wawili au watatu au wanne. Lakini mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu, basi mmoja tu."...
Back
Top Bottom