Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata...
Yo ma men, sikiliza hii game real quick...
CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money.
But guess what?
Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama Timu ingefuzu au labda huku Kusifiwa kwingi Kwake kumeshamharibu na anajiona Peter Shilton wa zama...
WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania.
Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni...
Ukweli ni kitu cha ajabu sana. Ni kama jua kali linalozalisha jasho kali hata kwa mtu aliyekuwa akijificha kwenye kivuli. Ni kama kioo kilichowekwa mbele ya mtu, kikimwonyesha sura yake halisi—pasipo mapambo, pasipo tabasamu la bandia.
Ukweli haupendi mzaha, haufichi, wala haupendelei upande...
Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa...
Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover)
Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
HUU NDIO UKWELI AMBAO WATU WENGI WANAOGOPA KUSEMA.
Leo Ijumaa Kuu kwetu wakristo tunaiita ni siku ya kumbukizi ya Mateso kwa mwana wa Mungu.
Nami nimeona sio vibaya niseme maneno ambayo baadhi ya watu wanaogopa hata kuyasikia.
Lengo langu sio kuhimiza uasi wala ubaya ila napenda kusema...
Nina amini kuna siri kubwa sana kwenye kuimba haijarishi unaimba katika lengo gani.
Tukianza na kwenye tamaduni zetu za kijadi karibia kila kusanyiko nyimbo huhusika yaani burudani.
Angalia kwenye Dini iwe ukristo au uislamu nyimbo zinahusika pakubwa sana kwenye uislamu utakuna na kaswida...
Tuachane na siasa , watoto wadogo wanahitaji kauli ya WaTanzania kwa kile alichokitamka Mheshimiwa Tundu Lisu.
Watoto wetu wanasoma mashule na wengine husikia na kusoma habari ,wanaposikia kuna mtu ameshitakiwa au kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini ,wanahitajia jibu lako kwanza waelewe hilo kosa...
Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii.
Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi nitajaribu kukisia la uongo ni lipi na kukujibu. Kama utapenda muite mtu unayetaka akujibu au akisie...
Salaam jamiiforum.
1.Idadi ya wasio kuwa na hofu ya Mungu inashamiri kwa kasi ya radi.
2.Namba ya wanaokwenda kanisani au Kwa maonesho ya mitindo ya mavazi pamoja na wanavyomiliki na siyo kuabudu inaongezeka kila siku.
3.Idadi ya wanaume wengi wanaonyimwa tendo la NDOA na wake zao ni kubwa...
Kuna kale ka-sentensi maarufu mitaani:
“Wasichana siku hizi akili zao zote ni mapenzi tu.”
Swali la msingi ni… ni kweli ama tumewatengenezea label tu ya "Love Machines" bila kuwapa nafasi ya kueleweka?
Real Talk…
Ukisikiliza mazungumzo ya watu, hasa porojo za vijiweni, utaambiwa eti msichana...
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa..
Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia..
Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020..
Ambao Ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.