ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee UKWELI unaonekana ni tusi

    Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R. Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max. Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
  2. JamiiForums Tanzania Unalalamikiaje uwepo wa viporo vya Simba wakati unajua ukweli huu?

    Ndugu zangu, wakati mwingine tuache kulalamika kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa. Mashabiki wa Yanga wanalalamikia TFF na Bodi ya Ligi kwa kuwapa Simba viporo vingi, wakilinganisha na viporo ambavyo Yanga ilikuwa navyo msimu wa 2022-23. Kuna mambo kadhaa ambao wanajisahaulisha, mojawapo ni...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu uliojificha kuhusu sisi

    Unaweza Kunisikia Humu Ndani" ni kitabu kinachozungumzia ukweli mzungumzwi kuhusu unyonyaji na hali ya kisiasa na kiuchumi barani Afrika. Kitabu hiki hakina aibu kukufungua macho na kukueleza kile kinachofichwa, kupitia hadithi ambazo zitaacha alama kwenye moyo wako. Hebu angalia baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tatizo sio watekaji, tatizo liko vichwani mwa wananchi

    Watanzania wengi kichwani . Ukipiga stori na Mtanzania mwenzako utagundua hili. Ni wachache sana ukikaa nao mezani kupiga stori utaweza kuondoka na kitu. Wengi wataishia kuropokaropoka tu. Hii hali ya miongoni mwa Watanzania Mimi sijui ni man made au ni genes. Vyovyote vile iwe man made au...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Huu: Kwani Wanataka Damu ya Nchi?

    Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu. Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Kuna ukweli katika hili asemalo huyu Mama

    Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo. Ukimya wake unamaanisha, ameumia Ukimya wake unamaanisha, hana furaha Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mitume 10 waliuawa kwa upanga, kamba, moto, mikuki. “UKWELI” hajawahi kuwa rafiki yetu, Iwezekane upone haraka Fr. Kitima

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. NANI ANAFUATA? Je ni hujuma? Kwa Nani? - Kwa Fr. Kitima? -Kwa Nchi yetu? Kwa Rais? Kwa Kanisa Katoliki? -Kwa Ukristo? -Kwa Chama cha Siasa? Kipi? - Kwa Wasiojulikana? -Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tubaki kwenye ukweli

    Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake . Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir 😳😳 Kwa sababu Kimsingi Tukisoma katiba yaJamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) ibara 09...
  10. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinachotuponza sisi Yanga. Tuambiane ukweli tu

    Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi. Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata...
  11. JamiiForums Tanzania System Inatupiga Fix: CAG Anasema Ukweli, Wao Wanazima Taa – Tumechoka Kuibiwa Kifalme!

    Yo ma men, sikiliza hii game real quick... CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money. But guess what? Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kweli Kipa Camara tunampenda na Katusaidia sana, ila aambiwe Ukweli kuwa Jana ilibakia kidogo tu angetugharimu hasa Kinidhamu

    Aina ya ule upotezaji wake wa Muda kuna mahala ulikuwa unaonekana kabisa kuwa alikuwa akiitafuta ama Kadi ya Njano au Nyekundu kwa lazima ili labda Timu idhoofike au asicheze Fainali ya CAFCC kama Timu ingefuzu au labda huku Kusifiwa kwingi Kwake kumeshamharibu na anajiona Peter Shilton wa zama...
  13. JamiiForums Tanzania Ali kamwe tuambie ukweli huko uliko

  14. JamiiForums Tanzania Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

    WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumesha gawanyika huo ndiyo ukweli!

    Watanzania tayari hatuko pamoja. Kuna kundi mmoja la watu wanaona mambo na nchi yetu iendelee hivi lakini kuna kundi kubwa sana ambalo lipo kwa sasa pamoja na mimi binafsi ambao tumechoshwa sana na uonevu wa haki za binadamu unao endelea Tanzania. Mara ya mwisho Watanzania tulikuwa wamoja ni...
  16. JamiiForums Tanzania Asilimia 70% ya wamarekani( USA) ni masikini. Takwimu hizi ni za ukweli?

    Haya si maneno yangu. Ni maneno ya 👇👇👇
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hatupendi kusikia ukweli?

    Ukweli ni kitu cha ajabu sana. Ni kama jua kali linalozalisha jasho kali hata kwa mtu aliyekuwa akijificha kwenye kivuli. Ni kama kioo kilichowekwa mbele ya mtu, kikimwonyesha sura yake halisi—pasipo mapambo, pasipo tabasamu la bandia. Ukweli haupendi mzaha, haufichi, wala haupendelei upande...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa: Divai aliyotengeneza Yesu haikuwa ya kulevya

    Katika kitabu cha Yohana 2:1-25 kuna habari ya muujiza alioufanya Yesu wa kubadili maji kuwa divai - wakati wa arusi ya Kana. Hiyo divai aliyotengeneza Yesu, ilikuwa non-alcoholic; haikulewesha. Huu ni ukweli ambao shetani hapendi uujue ili uangamie kwa dhambi ya ulevi. Twende pamoja sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…