hivi anatuanaje kwanza?
Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70?
Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others?
You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...