papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,374 Reaction score 2,077 Today at 12:47 PM #1 Kuna faida yeyote kwa Taifa? Attachments Screenshot_20261115_124047_Instagram Lite.jpg 200.4 KB · Views: 3
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,665 Reaction score 138,853 Today at 12:48 PM #2 Waarabu ni Wajomba zako. Wajomba ni mama.
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 3,000 Reaction score 4,352 Today at 1:06 PM #3 Tutabak kuvunwa tu sisi wakati mali tunazo na nchi itabaki masikin na watu wake wakiwa hoi kwa huu uongozi. Hivi kwani selikal yetu haiwezi kusimamia au kukopesha watanzania wakachimba na kuichakata dhahabu na tukawauzia tofari hao waarabu na wazungu?
Tutabak kuvunwa tu sisi wakati mali tunazo na nchi itabaki masikin na watu wake wakiwa hoi kwa huu uongozi. Hivi kwani selikal yetu haiwezi kusimamia au kukopesha watanzania wakachimba na kuichakata dhahabu na tukawauzia tofari hao waarabu na wazungu?