ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya . Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ujenzi haijitambui

    Tatizo la Wizara ya ujenzi imekuwa mapepe sana. Sasa wanataka kubinafishisha reli. Je, pesa ya ujenzi itarudi vipi, matengenezo. Ni jitihada za kutengeneza mianya ya rushwa. Yaani Watanzania wanatengeneza reli kwa $10B halafu marafiki zao ndiyo wanunue vijibehewa na kuendesha kwa gharama ambazo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ujenzi: Wananchi wengi wamejenga maeneo hatarishi kama :kando ya mito, makorongo na kwenye njia za mito ya msimu chukueni tahadhari

    Nawasalimu wote. Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali. Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Bashungwa Atoa Ufafanuzi Daraja la Kuunganisha Dar na Pwani: Litaanza Kutumika Kufikia Kesho Jioni

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ngorongoro wanajengewa nyumba, Hanang pia wasaidiwe ujenzi wa nyumba

    Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali. Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63 Kama...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Serikali yasema inasubiri Wananchi watenge eneo ili ujenzi wa Shule ya Kigulunde uanze

    Baada ya JamiiForums.com kusambaza picha zinazoonesha muonekano wa Shule ya Msingi Kigulunde iliyopo Kitongoji cha Mahande, Kata ya Mtii, Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro kutokuwa katika mazingira mazuri kutokana na uchakavu wa majengo, ufafanuzi umetolewa. Andiko la kwanza hiki hapa -...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Ujenzi

    Wakuu habari za wakati huu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi. Ila ningependeza nianze na vyumba viwili kwanza (chumba na sebule) ili ni niweze kuhamia kwangu kwa kuwa bado...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili yakumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu) NB: Nikipata na bei itakuwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Unapoona juhudi za kuwapiga chapuo makandarasi wa ndani zimeshika kasi ujue kuna mtu amefungua kampuni lake la ujenzi

    Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani. Kampeni za kunyanyua...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo ashtukia upigaji ujenzi wa stendi Tukuyu. Hizi sio paving ni mchanga na wahandisi wapo

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Mhe. Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo Ashtukia Upigaji Ujenzi wa Stendi Tukuyu

    Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa kupanga tofali ndogo za nzege (PAVING BLOCK) zilizo chini ya kiwango hali inayo hatarisha ubora wa stendi...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaopisha Ujenzi Bonde la Msimbazi Waanza Kulipwa Leo

    Serikali imesema Wananchi 2,400 wanaopisha uendelezaji Bonde la Msimbazi tayari wameanza kulipwa fidia zao leo, hatua hii inakuja baada ya jana Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa kuongea na Wananchi wanaoathiriwa na uendelezaji wa Bonde hilo kwenye eneo la Jangwani jijini Dar es salaaam na...
  18. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ujenzi wa Daraja la Jangwani kuanza Desemba 2022

    Huwa sipendi maneno mengi
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka Waziri wa Ujenzi kuharakisha ujenzi wa njia nne za barabara Mwanza yenye urefu wa km 32

    MWENEZI MAKONDA ABAINISHA KUWA SERIKALI YA CCM CHINI YA RAIS SAMIA YAIELEKEZA WIZARA YA UJENZI KUJENGA BARABARA ZA NJIA NNE - MWANZA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ameendelea na ziara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa ambapo leo tarehe 12...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…