uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

    Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  3. JamiiForums Tanzania Mahojiano Bongo Plus: Historia ya Uchaguzi (1958 - 2055)

    https://youtu.be/Z3f-8I6ALVQ
  4. K

    JamiiForums Tanzania MTIFUANO WA UCHAGUZI WA TFF

    Leo nimesikia maelezo ya Mawakili watano waliomuwekea pingamizi Rais anayemaliza muda wake Ndugu Karia. Binafsi maelezo yao yana mashiko. Hivi kweli Rais anayeheshimika kwa nini asifuate taratibu na kanuni. Kama ilivyo sheria na taratibu za TFF mgombea wa Urais wa TFF sharti ni kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  8. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

    Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niishauri TUME YA UCHAGUZI mwaka huu 2025 mchukue takwimu halisi za watakao piga kura ili mjifunze kitu. Achaneni na feki zilizo zoeleka miaka yote

    Huo ni ushauri wangu kwa tume ya uchaguzi, takwimu nyingi mnazo toa huwa hazina ukweli wowote ndio maana hamjui wananchi wanajitokeza kwa uhalisia kwa asilimia ngapi na asilimia ngapi hawapiki kura kabisa , ili mjue ni kwa namna gani wananchi wana mwitikio wa kupiga kura nchini kiuhalisia...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Rais TEC atangaza maombi ya kufunga kuombea haki na amani katika uchaguzi mkuu

    Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

    Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi. Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Taratibu zisizoeleweka wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa zitukumbushe uhitaji wa 'reforms' kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba

    Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi. Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugu wana wa Tanzania, Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani Katika Halmashauri yako

    Ndugu wana wa Tanzania. Usije ukakimbilia Ubunge ukasahau udiwani wa Katika Halmashauri yako. Nafasi za Udiwani ni nafasi muhimu sana katika Maendeleo ya Halmashauri yako. Katika Uanzishaji na Uibuaji Miradi na Uibuaji vyanzo Vya Mapato, Katika Usimamizi wa rasilimali fedha na rasilimimali...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Samia ni kipimo cha ukomavu wa muungano wetu

    Moja ya hotuba maarufu sana ya baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano. Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imeshusha Heshima ya Ubunge na Uchaguzi Kwa ujumla ndio Sababu watia Nia kupitia CCM ni wengi wakiamin ni lazima washinde

    Katika Uchaguzi, Mgombea anashinda Kwa mambo mawili Ama Chama chake kinakubalika, au Yeye mwenyewe anakubalika sana Ndani ya Jamii. Kwa mfano, MTU kama MPINA, LISSU, HECHE Hawa wenyewe hata wahamie ADC wanashinda Asubuhi kweupe ilimradi tu Kuna Uchaguzi wa uhuru na Haki !!. Watia Nia...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wetu SSH - Waadventista wasabato nchini tukuombe shughuli za uchaguzi zisiwe siku ya Sabato

    Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu. Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo. Tunakupenda sana.
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…