uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema CCM ni chama imara, kitashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo

  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema twende tukashiriki uchaguzi mkuu kwa utulivu na mshikamano

  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

    Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. Madaraka yakianza kulevya. Sababu alizotoa hazina mashiko. Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa. Cc Nyani Ngabu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon Paul Biya abadili viongozi wa kijeshi kabla ya uchaguzi

    Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Chadema kusalimu Amri;Kuingia kwenye uchaguzi kupoza njaa,Gwajima awatetea

    Asalam aleykum waislamu wenzangu. Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji. Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani. Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima ametoa wito kwa wananchi wote kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani, utulivu na mshikamano

  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Ikiwa tulishindwa kujenga matundu ya vyoo, tutaweza kupata pesa ya uchaguzi kwa pesa za ndani?

    Hellow! Nijuavyo, makusanyo ya ndani yanatosha pekee kulipia mishahara kulipia watumishi wa umma, pesa ya miradi mara nyingi ni mikopo na misaada. Na ukweli huu ndio sababu hata ujenzi wa matundu ya vyoo, wanakijiji wamekuwa wakibanwa wachangie, wengine Hadi wanakamatiwa mifugo Ili ipatikane...
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaamini hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 2025

    Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali. Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tukiwa Tunapambana na Waliokatwa na Kujiuzuru kwa Polepole, Kisiwani Tumenunua Ndege Yetu ya Kwanza

    ... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  16. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kila kitu kilichopo mbele yako ni chaguo : Uchaguzi ni wako.

    Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo. Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako. Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka. Taratibu tu mada itaeleweka.
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nini hatima ya Tanganyika baada ya 2025 kama uchaguzi utafanyika?

    Kuna kila dalili watalazimisha uchaguzi ufanyike.. Mbele naona giza Kwa cover unakiona chama kinaitwa CCM lakini ndani sivyo.. Ni kundi dogo la watu wachache..Ni sawa na kuwa na body ya landrover engine ya Toyota Ndani ya kinachoitwa ccm wameendelea na mchakato kutafuta watakaogombea nafasi za...
  18. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA; Bado mnaamini mtazuia uchaguzi?

    April 24, 2025 niliandika makala "No reform, No election is suicidal" nikijenga hoja kuwa in short term ingewapa CHADEMA cheap popularity ambayo ingeweza massage ego za uongozi mpya, ila in long-term, particularly post election, gharama ambayo chama kitalipa itakuwa ni kubwa na haitakuwa...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Tumjamaa tumefanikiwa kusimamisha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo cha uchaguzi aliwasha ile mbaya

    Sijui hutu tumjamaa tulikuwa tumetumia nguvu za giza au tulikuwa tumemwaga upupu kwenye kila kituo cha uchaguzi. Kila aliyekaribia kituo alianza kuwasha mwili mzima. Jinsi alivyokuwa anakikaribia ndvyo alivyozidi kuwasha na kumfanya arudi nyumbani. Ukiondoka kwenye kituo kuwashwa kunaisha...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hizi hapa dhambi za uchaguzi ziepuke, utakufa vibaya

    GT. Uchaguzi uliojaa hila ni haramu jiepushe nao..
Back
Top Bottom