uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mpinzani mkuu wa Rais Paul Biya wa Cameroon aenguliwa kugombea

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Maurice Kamto ameondolewa kwenye orodha ya wagombea katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025. Ni majina 13 tu kati ya 83 yaliyowasilishwa kwa baraza la uchaguzi nchini humo yalikubaliwa. Hakuna sababu iliyotolewa kwa uamuzi wa kutomruhusu Kamto kusimama...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Nimepitia takwimu ya Sensa ya taifa iliyofanyika 2022, katika jedwali la mgawanyo wa idadi watu kiumri katika makundi ya miaka mitano mitano ( Population Distribution by Age Group). Ukianzia na kundi la chini kabisa la miaka (15 - 19) mpaka la wale zaidi ya umri 85 . Jumla ni watanzania...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

    Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura". Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo Kuna mambo matatu! 1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu mtazamo wa Mwalim Nyerere kuhusu tabia za Wanasiasa

    Huu hapa mtazamo wa mwalim Nyerere kuhusu uchaguzi wa Tanzania 2025 na wanasiasa wake
  5. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa mitandaoni punguzeni jaziba mtapata kisukari Ratiba ya uchaguzi ishatoka OCTOBER TUNATIKI

    Nadhani hakuna haja ya kupaniki mnajiumiza bure , huwezi kuzuia jua kwa mkono. Hongera sana tume kwa kutupa ratiba. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
  7. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2005 Ulisogezwa Mbele Kwa Mwezi Mmoja na Wiki Mbili

    Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe. Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
  8. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Baada ya myaka mi5 tutakuwa mikononi mwa wahuni at 100% (kabla hatujaufikia uchaguzi tujue hili)

    Nanukuu nilichojifunza kwenye interview ya mzee BUTIK nachangany ana zakwangu. Hebu piga picha ya kina unaposoma uzi huu, piga picha ya kina ambacho nchi yetu inazidi kudidimia ktk misingi ya demokrasia na namna nchi inavyoendeshwa kiujumla. Kwanza niwasalimu Salaam the learned ones and dear...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Reforms azijafanyika lakini tusisusie uchaguzi

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo wa uchaguzi nchini. Akizungumza na wanachama katika hafla ya kupokea wanachama wapya wa Chaumma...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini kila ikikaribia au Uchaguzi ukipita huwa kuna Sheria zinapitishwa ambazo zinaminya Uhuru wa Watu kujieleza?

    Kwa nini kila ikikaribia au kila baada ya uchaguzi tunashuhudia kupitishwa kwa sheria mpya au utekelezaji wa sheria na kanuni ambazo zinaonekana kudhibiti haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni? Kwa mfano kuelekea Uchaguzi wa mwaka 2015 ilipitishwa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kushiriki uchaguzi ni kama Samia ameweka mpira kwapani alafu anatuambia tucheze hewa

    Hatuwezi kushiriki uchaguzi ni kama samia ameweka mpira kwapani alafu anatuambia tucheze hewa mwisho anasema yeye ndio mshindi. katika mazingira kama haya hatuwezi kukubali maigizo weka mpira chini tucheze wote.
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania LHRC: INEC itoe uhakikisho kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Massawe ametoa wito huo leo Julai 24, katika mahojiano katika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Upinzani Tanzania unajimaliza wenyewe?

    Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule. Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna muda maalum wa kuteua wagombea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania?

    Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
Back
Top Bottom