uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama upinzani hautapewa jimbo na wakurugenzi wasimamizi wa uchaguzi, bado lipo jukumu la CCM kujitafakari

    Kinafanywa na Wananchi kwa sasa hasa vijana ni ishara mbaya kwa Chama cha Mapinduzi. Labda CCM haijafanya tafiti kujua wananchi wanataka nini au wanajua ila hawataki kutimiza. Kwa nguvu aliyotumia Rais na timu yake awamu ya tano na namna wale aliodhani wanamfurahisha wanavyofanya mitahani ni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020: Mafuriko ya Tundu Lisu, anaweza kubadili kanuni za uuwindaji!

    MAFURIKO ya Tundu Lisu, yaweza kubadili kanuni za uuwindaji. Yaani, Mbuni kuanzia kumuwinda Tembo. Au sungura kuanzia kumwinda mbwa! Katika siasa Hakuna jambo linaloweza kutokea kwa bahati mbaya. Matukio yote hupangwa kwa njia za haki au hila! Hupangwa mchana au usiku! Sirini au kwenye Meza...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    Amani iwe nanyi wadau na kwa wakazi wa Dar poleni na Tetemeko Niende kwenye mada! Ni ukweli ulio wazi kuwa John Pombe Magufuli hawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu na hizi ndizo sababu 1. Kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM Najua CCM sasaivi wanajaribu kuwaita makada wao nguli ambao...
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kassim Majaliwa: TAKUKURU hakikisheni wanasiasa hawanunui wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu. Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao. Chanzo: ITV habari!
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020: Tuambiane Ukweli tu, Tundu Lissu na Maalim Seif hakuna atakayekuwa Rais

    Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa kuwa Rais iwe jua iwe mvua. Seif Shariff Hamad - hatokuwa Rais wa Zanzibar hata iweje. Hawezi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu unajijua kabisa wewe ni Msimamizi wa Uchaguzi halafu unaomba kugombea ubunge, Hii si sawa!

    Nawakumbusha tu viongozi wa CCM kwamba kama kuna mkurugenzi wa halmashauri alienda kugombea ubunge halafu amerejea ofisini basi liangalieni swala lake kwa umakini mkubwa sana. Tusije kutoa sababu za mapingamizi na hata kesi zisizo na ulazima mbele ya safari. Niishie hapo!
  8. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwaengua wagombea wa upinzani kwenye Urais & Ubunge kwa sababu za kubumba, Hapatakuwa na Uchaguzi

    Zitto kaandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. NEC wachukue tahadhari sana wasifanye huu upuuzi ambao haujawahi kufanywa katika uchanguzi wowote mkuu huko nyuma tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Kwa muktadha wa hii tweet ya Zitto Kabwe, NEC ikifanya hivyo inaweza kulipasua taifa vibaya sana!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuishwa kama vyama vya upinzani

    Historia ya ndani ya nchi ya Tanzania katika kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya Habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuhishwa kama vyama vya upinzani hususani vyombo binafsi vya habari, waaandishi wanaojitegemea pia huwa katika wakati mgumu katika kutekeleza majukumu...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa 2020 unaenda kuitambulisha Tanzania ya miaka 100 ijayo

    Huu uchaguzi una maana kubwa sana kwa taifa la Tanzania. Ni uchaguzi unaoenda kui 'define' Tanzania kwa karne moja ijayo. Nchi hii iko katika njia panda, kuna hatma za aina mbili au tatu nchi inayoweza kuzifuata na yote hayo yanategemea mambo kadhaa. Ila ninachoweza kusema ni kuwa haijalishi...
  11. puza46b

    JamiiForums Tanzania Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara

    Wakati wa vita wakuu wa majeshi hufanya maamuzi magumu mojawapo likiwa ni kutoa kafara maeneo au kikosi fulani ili iwasaidie kushinda vita. Kwa kifupi wanaachia washindwe mapambano wakijua watashinda vita. Mfano wa kihistoria: Vita kuu ya pili ya dunia, Warusi waliwaruhusu wajerumani( Nazi)...
  12. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msipompitisha Lissu watampigia Membe, msipompitisha Membe watampigia Rungwe, msipowapitisha wote raia watasusia uchaguzi

    Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo. Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya kukatwa, basi option ya pili waliyonayo raia ni Membe. Mkimkata na yeye raia wanaona ni bora hata wampe...
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

    Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani? Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kadri joto la uchaguzi linavyopanda, sitashangaa kusikia watumishi wa Umma wenye madai mbalimbali wakianza kulipwa

    Swala la mishahara ya wafanyakazi na stahiki zao zingine wanazoidai serikali, ni moja ya mambo yanayopandisha joto la uchaguzi wa mwaka huu na ni wazi wapinzani wataitumia sana agenda hii katika mikutano yao ya kampeni na bila shaka jambo hili linakwenda kuwaweka katika nafasi ngumu sana CCM na...
  17. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Hali ilivyo mapokezi ya Mgombea Urais Kupitia ACT- Wazalendo, Maalim Seif na Bernard Membe. Ni Mafuriko

    Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na picha za mapokezi tutawawekea hapa.
  18. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  19. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
Back
Top Bottom