tundu lissu

  1. Mpekuzi Tanzania

    PreGE2025 Lissu na Mpina anzisheni Chama, mtanishukuru baadae

    1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma 2. CHADEMA (mbowe) au act wazalendo (Zitto) vimeshakula nyama ya mtu haviwezi kuacha. Ndio maana hata act...
  2. Mmawia

    Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

    Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi. Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi. Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa? Kuna haja...
  3. Pascal Mayalla

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Wanabodi Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu, "Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni Jee Dereva Anahusika? Si maanishi kuwa dereva wa Lissu anahusika, bali mazingira ya tukio...
  4. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi . CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola . CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
  5. Nsanzagee

    Mpaka leo, wapo wanaoamini Tundu Lissu alishambuliwa na vikosi vya Serikali awamu ya tano, na wapo wanaoamini ni mchezo wa CHADEMA kufitinisha utawala

    Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya watu wa TANZANIA Ilikuwa ni kama mchezo hivi, mara masikio ya Watanzania na duniani kote...
  6. 6 Pack

    PreGE2025 Ushauri kwa Tundu Lissu: Omba ulinzi kabla ya kuendelea na michakato

    Habari yako mhe. Tundu Lisu? Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema. Leo nimeamua kukuandikia wewe mwenyewe direct humu kwa lengo la kukufungua macho na akili yako...
  7. Erythrocyte

    PreGE2025 Singida: Tundu Lissu adai kufuatiliwa na Watu wasiojulikana

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Amos Makalla adai CCM haijawahi kuiba kura. Amtaka Tundu Lissu kuacha kutisha Wananchi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
  9. J

    Sikumbuki ni lini Tundu Lissu aliwahi kudanganya kwa kudhamiria, huyu ni Mwanasiasa wa Kipekee sana!

    Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu...
  10. Erythrocyte

    PreGE2025 Tundu Lissu awauliza Wanakijiji kama waliwahi kusomewa Mapato na Matumizi ya Kijiji chao, Wamjibu Hapana

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anaendelea na ziara yake ya kuelimisha wananchi huko Iramba, leo ilikuwa zamu ya Kijiji cha Kyalosangi, Kata ya Kinampanda, Iramba Magharibi. Pamoja na kuzungumzia Kikokotoo kwa wafanyakazi, Jambo lililowafanya Askari zaidi ya 50 waliokuwa kwenye...
  11. Mganguzi

    PreGE2025 CHADEMA watafute mgombea mwingine wa urais, Tundu Lissu, Mbowe, Msigwa, Sugu na John Mnyika warudi bungeni! Nchi itakuwa salama zaidi

    Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga na kusimamia raslimali zetu huko bungeni. Tundu Lissu aachane na ndoto za kugombea urais aende...
  12. J

    Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa aingia kwa kishindo Singida kusherehekea Birthday yake. Je, Tundu Lissu atahudhuria?

    Mbunge wa viti Maalum Jesca Kishoa asiyetambuliwa na CHADEMA (COVID 19) ameingia kwa kishindo wilayani Mkalamo mkoani Singida kwa ajili ya kusherehekea Birthday yake Kadhalika Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu yuko mkoani Singida kwa ziara ya wiki Ndio Wanasingida wanajiuliza Tundu...
  13. S

    Tundu Lissu tunaomba uingilie kati suala la mikopo ya mitandaoni labda serikali itachukua hatua

    Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi. Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea. Hili kwa sasa ni tatizo kama...
  14. Gobole Lenye Risasi

    Tundu Lissu ni Mwanasiasa pekee ambaye naweza msikiliza akiongea, na alikuwa pia Prof. Kabudi alipokuwa sober

    Tundu Lissu anajua kuongea. Hakuna mwanasiasa anaweza simama jukwaa moja na Tundu Lissu kubishana. Hakuna Chama Chetu CCM na nje ya chama au any chama. Lissu akianza kuongea utapenda msikiliza ana facts anajua mambo. Ni mzuri katoka kuelezea jambo. Kama ambavyo Prof Kabudi pia alikuwa na...
  15. sonofobia

    Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  16. Nelson Kileo

    Tundu Lissu: Mbunge kinara wa kudidimiza maendeleo

    Jimbo la Tundu Lissu lina shule 15 tu ambazo zote hazina maabara, na mbunge wa jimbo hilo ''Tundu Lissu " ndie amekuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kutotoa michango kwa ajili ya maendelea yao binafsi akidai kua serikali ina pesa za kutosha za kuwajengea maabara. Source: New star tv ...
  17. Erythrocyte

    Tundu Lissu kuunguruma Temeke 26/5/2024

    Kwa Mujibu wa Taarifa iliyosambazwa na Chama chake , Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atahutubia Mkutano wa Hadhara Wilayani Temeke, DSM. Nimeona magari ya Matangazo yakipita mitaani na kwamba mkutano huo utafanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga, Tandika Kwa vile kwa sasa niko DSM...
  18. chiembe

    PreGE2025 Tundu Lissu, wanaposema wako nyuma yako kamanda, sasa ni muda wako wa kukusanya takwimu, 2025 usije sema umeibiwa kura

    Sasa ni muda wa Tundu Antipas Lissu kukusanya takwimu ili 2025 tusilaumiane. Maana wakiwa kwenye KeyBoard huwa wanatamba mko pamoja. Muda huu ndio kura za maoni za uchaguzi, tinajua kwenye ile kumi, tano alitoa Mbowe, tano Lema, hata Malisa hajakuombea mchango
  19. J

    PreGE2025 Tundu Lissu: Job Ndugai hakuchaguliwa na mtu yoyote!

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema amesema Jimbo la Kongwa halina Mbunge na yule Ndugai alipachikwa tu Ndugu zangu hapa Kongwa jimboni hakuna Mbunge hivyo nawaomba anzeni safari ya kuchagua viongozi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka Huu Jambo TV
  20. ChoiceVariable

    PreGE2025 Samia ndio kiongozi pekee wa awamu ya 5 aliyeenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitalini lakini shukrani anayopata ni matusi na kumbagua

    Samia suluhu Hassan ndio alikuwa Kiongozi pekee wa awamu ya 5 ambae alijitoa muhanga kwenda kumjulia Hali Tundu Lisu hospital Nairobi wakati wengine wakisubiria breaking news. Lakini Cha ajabu Sasa Shukrani ya bwana Lisu Kwa Samia ni kumtukana,kumsinhizia anauza Mali za Watanganyika na...
Back
Top Bottom