tundu lissu

  1. T

    Kwa upepo Tundu Lissu anaowajaza wananchi, bila uchaguzi huru na haki 2025 tutarajie mazito

    Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
  2. L

    Tundu Lissu jikite kueleza namna ya kukuza uchumi wa nchi, sio kulalamika tu bila mpango

    We kila mkutano wako unashambulia Wabunge mara ulie kuwa kuna watu wanakuwinda mara sijui Mwigulu kafanya hivi, mara umedakia kwa Mpina, wananchi wanataka wakusikie njia mbadala za kukuza uchumi wa nchi. Je, wewe ukipewa nchi kwa mfano unawezaje kuwaletea wananchi maendeleo? Tunajua duniani...
  3. Common Folk

    Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki za "SSH 2025" zimetoka wapi?

  4. Erythrocyte

    PreGE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

    Hebu tuangalie halafu tusaidiane Pikipiki zimeandikwa SSH2025 na zina picha yake, hatujaanza kampeni, mama ameanza kampeni zaidi ya mwaka na nusu kabla ya uchaguzi. Kama ameanza yeye na sisi tuanze, amefungulia mlango. Kila kata ya mkoa wa Singida imepewa pikipiki kulingana na idadi ya...
  5. J

    PreGE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana. Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lissu. Mlale Unono 😃😃🔥 ====== Freeman Mbowe akikanusha...
  6. R

    Ni muda muafaka wa Tundu Lissu kuwataja masheikh na maaskofu waliopewa vibali vya kuagiza sukari kwa ushirika wa Bashe na Mwigulu

    Salaam,Shalom, Ushahidi wa Luhaga Mpina uko dhahiri kuwa Kuna uwezekano mkubwa kuwa TUNDU Lissu alisema Kweli juu ya kuhusika Kwa baadhi ya masheikh na maaskofu kuhujumu Taifa Kwa kutengeneza mgao wa sukari nchini Ili kupata faida binafsi. TABIA hii ya Kiongozi Mkuu kunyamazia HOJA zenye...
  7. chiembe

    Serikali itoe muongozo wa lugha rasmi za kufanyia siasa, Lissu anafanya siasa za kikabila Singida, anatumia lugha Kinyaturu

    Nimefuatilia kwa karibu ziara ya Lissu mkoani Singida, kwa asilimia 96 amekuwa akiongea kwa kinyaturu wakati shughuli anayofanya ni rasmi iliyosajiliwa. Mwanasiasa akiishiwa hoja hukimbilia katika ukabila. Nashauri Tume ya uchaguzi, ili kujenga umoja wa kitaifa, ipige marufuku matumizi ya...
  8. Kabende Msakila

    PreGE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
  9. Etwege

    PreGE2025 Mafanikio ya SGR na Bwawa la Umeme ni aibu kwa Lissu na CHADEMA yote

    Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro hivyo kuokoa muda na foleni barabarani. Mwezi wa saba tarehe 25 treni hiyo itaanza rasmi kwenda...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    PreGE2025 Mwigulu badala ya kuwasilisha bajeti yeye anatumia muda mrefu kumkandia Tundu Lissu

    Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano. Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya Serikali? ==== Pia soma: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha...
  11. Erythrocyte

    Mkutano wa Tundu Lissu wafana Singida Magharibi

    Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro Naye John Pambalu ameitaka serikali kumkamata na kumshitaki aliyekuwa RC wa Singida kwa tuhuma za ubakaji .
  12. B

    Mpaka Sasa Mwanasiasa Bora Nchini Tundu Lissu ni Top in the List.

    Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora. Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu. TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
  13. Kipenzi Changu

    PreGE2025 Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu

    ...tunaendelea Ingekuwa hoja kama tusingemsema Magufuli kwa mfano, kuna mtu alimsema Magufuli kama mie? Kuna mtu alimsema Kikwete kama sisi? Mpaka Mkapa, mie kesi yangu ya kwanza ni ya Mkapa mambo ya madini mwaka 2002 miaka 22 iliyopita, na za Kikwete ngapi sijui za Magufuli ndiyo usiseme...
  14. D

    Lissu is loosing his credibility as time goes on

    I know that most Tanzanians are illiterates and therefore they normally become happy for while especially when there is a person who makes them happy temporarily even even for trivial issues like what Lissu is doing. They normally become relieved when insulting a person or leader and this is...
  15. Nyani Ngabu

    PreGE2025 Hata Tundu Lissu naye huwa anadanganya!

    Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko kwa wanaohongeka. Lissu naye ni kama wanasiasa wengine tu. Na yeye hudanganya pia. Kwenye haya...
  16. D

    Uongo wa Tundu Lissu kuhusu kulipwa stahiki zake huu hapa

    Huyu jamaa sijui anakuwaje kabla ya kuongea!!
  17. U

    PreGE2025 CCM wasipoiba kura, Tundu Lissu atachukua nchi

    Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko. Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea...
  18. G

    PreGE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

    Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi kahonge wanaohongeka". Hakika Lisu ni mwadilifu mno huyu mwamba. Anastahili kuwa rais 2025. Na njia...
  19. chiembe

    Saikolojia ya Mtanzania ikoje? Kwanini wengi hushangilia kiongozi anapoonesha au kufanya jambo la kikatili?

    Nadhani kama nchi, lazima tulishafanya study ya saikolojia na tabia za kabila, wilaya, mkoa wa nchi yetu. Hii inasaidia kiongozi akifika huko, anajua jinsi ya ku-deal na watu wa upande aliopo. Hivi karibuni nilimsikia TAL akilalamika jukwaani, kabla ya kulalamika, ailikuwa akitoa historia ya...
  20. chiembe

    PreGE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

    Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa. Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa...
Back
Top Bottom