tundu lissu

  1. The Palm Beach

    Tundu Lissu aitaka mahakama kumwandalia mazingira mazuri ili akutane na mashahidi wake DCI Kingai CDF Nkunda na IGP Wambura ili kuweka mikakati

    Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii.. Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final submissions Mhe.Lissu: Kwanza hao mashahidi wangu nahitaji kuonana nao ili tupange mkakati wa kesi...
  2. Nehemia Kilave

    Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

    Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana . Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na...
  3. S

    Tundu Lissu na wewe dai bank statement ya kigogo mmoja wa chombo cha dola ambae bank statement yake iliiwahi vujishwa mitandaoni

    Kama Mahakama imeruhusu bank statement kuonyweshwa mahakamani, namshauri Lissu aombe bank statement ya kigogo mmoja ionyeshwe hadharani atapokuwa anamuhoji mahakamani ili athibitishe yale mamilioni alioingiziwa kama mkopo na aeleze atalipaje huo mkopo hapo mahakamani. Lissu usiache unless huyo...
  4. Manyanza

    Malenga Julius Mlemavu kutoka Tunduma amempa pesa Tundu Lissu Mahakamani

    Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu. Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000. Hapa alirejea tena...
  5. the ostrich eggs

    Uhaini wa Katuga vs Uhaini wa Tundu Lissu

    Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10 ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga 1. ATAPINGA KWA KULETA VITA 2. Mlihamasishana na wananchi kwenda Magomeni. 3. Mlikuwa kundi, ikabidi Polisi wawatawanye 4.
  6. Girland

    Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  7. Pfizer

    Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  8. The Palm Beach

    Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    https://youtu.be/_oeaplrbrKI?si=csV0SmcI42OT19ak Tundu Lissu: Ramadhani Kingai anakuja kunitetea Mhudhuriaji wa mahakama: Wewe si umesema mna ugomvi naye, sasa atakuja kuteteaje? Tundu Lissu: (kwa msisitizo). Atakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. Itabidi aje anyooshe maelezo...
  9. F

    Hivi, bila Tundu Lissu, Mwigulu angepewa uwaziri mkuu unaompwaya?

    Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja. Hivyo basi, Mwigulu si waziri mkuu kwa vile ana sifa. Sifa nyingine zaweza kuwa uchawa na uwezeshaji wa upigaji wa pesa kwa ajili...
  10. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea huku John Heche akitarajiwa kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026 ambapo jana Septemba 10 Mahakama Kuu ilikataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
  11. Troll JF

    Je, Brenda Rupia alimvalisha Kitanzi Tundu Lissu kwa ushahidi wake?

    Kesi inapoanza mfano wa Shati la Jamuhuri kuwa jeupe na safi kazi ya Mshtakiwa au utetezi ni kulitia madoa ukishindwa kulitia madoa mpaka mwisho wa kesi basi mtuhumiwa hufungwa. Lengo la kuita Mashadi ni kuja kuvunja ushadi wa jamuhuri na Ndiyo maana hata jamuhuri wakimuita shahidi akawageuka...
  12. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: John Heche ameanza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Shahidi wa nne ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, Septemba 9, 2026 amekamilisha sehemu zote za utetezi wake. Mapema leo baada kesi kuanza mawakili wa Serikali waliendelea na maswali...
  13. R

    Ado Shaibu: Tundu Lissu ni Mandela wetu hapa Tanzania

    Akizungumza jana, Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesisitiza kuwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini unahitaji mazingira na msingi sahihi ili uweze kuzaa matunda ya kweli. Akitolea uzoefu wa...
  14. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda amaliza kutoa ushahidi Mahakamani Septemba 9, 2026

    Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, alisema hotuba ya Lissu ya Aprili 3, 2025 ilihusu mageuzi ya mfumo wa Uchaguzi...
  15. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

    Shahidi wa nne katika kesi ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia, leo Septemba 8, 2026 ataendelea kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Tundu...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Tundu Lissu: Pelekeni pole zangu kwa wafiwa

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametoa pole kwa wafiwa akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini hadi kesho, Septemba 8, 2026, ambapo itaendelea kwa hatua ya ushahidi. Hata hivyo, Lissu hakueleza pole hizo zilikuwa...
  17. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini: Brenda Rupia ndani ya Mahakamani kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Muktasari: Shahidi wa tatu wa utetezi, Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Baada ya maswali ya dodoso kutoka upande wa mashtaka na maswali ya ufafanuzi kutoka upande wa utetezi kukamilika, kesi imeahirishwa kwa saa moja na nusu. Inatarajiwa...
  18. M

    Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  19. Manyanza

    Leo imetimia Miaka 9 tangu Tundu Lissu apigwe risasi 16

    Tarehe 7.9.2017 Dereva wa Mh. Tundu Lissu akimkabidhi Nguo za Lissu Freeman Mbowe huku zikiwa zinavuja Damu zikiashilia kwamba Mh. Lissu ameumizwa vibaya baada ya kupigwa risasi 16.. Leo inatimia Miaka 9 tangu Lissu apigwe risasi hakuna haki aliyopata, badala yake yupo Gerezani kwa Kesi ya...
  20. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa, amemaliza kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Shauri la uhaini namba 19605/2025 linalomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, litaendelea leo Septemba 7, 2026 katika hatua ya maswali ya dodoso kwa shahidi wa tatu ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Amani Golugwa. Maswali hayo ya dodoso...
Back
Top Bottom