tundu lissu

  1. The Palm Beach

    Final Submission ya Lissu leo imenitoa machozi. Imeweka wazi jinsi Polisi kwa kushirikiana na DPP inavyoonea watu kwa mashitaka ya uongo!

    Kabla ya kusoma submission yake, nikukumbushe kuwa Tundu Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini wa kutamka maneno.. 1. Tutazuia uchaguzi 2. Tunakwenda kukinukisha kwelikweli 3. Tutahamasisha uasi 4. Kuchapisha maneno hayo kwenye mitandao wa YouTube wa JamboTV Na mwisho Jamhuri kupitia kwa DPP...
  2. Mtu mbalimbali

    (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  3. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatano, Septemba 23, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Mahakama kinatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru...
  4. kavulata

    Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

    Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena? https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
  5. Tajiri wa kinyankole

    Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Kiongozi Mwaipopo amewataka Watanzania kusimama pamoja na kumuomba Mungu ili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, afungwe, akimshutumu kwa kusababisha madhara makubwa na machafuko nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwaipopo ameeleza kuwa Tundu Lissu ni chanzo cha matatizo na kwamba...
  6. The Palm Beach

    Tetesi: CDF na IGP walimwambia DCI Ramadhani Kingai, "nenda kamalizane na Tundu Lissu mwenyewe kwanza wewe ndiye uliyelianzisha!!"

    Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai... MAJUKUMU YA DCI Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
  7. Victor Mlaki

    Zaidi ya Mahakama: Numerolojia inavyofichua mkono wa hatma kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Katika elimu ya namba Tundu Lissu anahesabika kuwa na mtetemo wa namba tisa (9) namba ambayo ina misukumo ya uanaharakati, utetezi wa haki na mabadiliko ya Jamii. Mtetemo wa namba tisa (9) humfanya mtu kuongozwa na kutafuta haki, kutohofia mapambano dhidi ya mifumo na maisha ya misukosuko...
  8. Keynez

    Je, leo wahudhuriaji mahakamani walishuhudia Tundu Lissu akimuandaa shahidi wake DCI Ramadhan Kingai?

    Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa. Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja...
  9. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    Badala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini? Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani? Au, Je, hamuamini mwanasheria huyo...
  10. Waufukweni

    Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu itaendelea tena mchana leo, Ijumaa Septemba 18.2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru inakuja...
  11. Waufukweni

    Nini kitatokea endapo Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Jeshi la Polisi hawatoitikia wito wa mahakama kesi ya Uhaini ya Lissu?

    Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani. 1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko. 2- Adhabu...
  12. Nyani Ngabu

    Napendekeza Tundu Lissu ateuliwe kuwania Tuzo ya Amani ya Nobeli kwa mwaka 2027

    Kwa juhudi zake tena bila kuchoka wala kukata tamaa katika kutetea haki za binadamu, kupigania utawala bora wa kisheria na kupigania demokrasia nchini, Tundu Lissu anastahili kabisa kutunukiwa tuzo ya amani ya Nobeli 2027. Kama mwaka jana Corina Machado ndio alishinda, sioni kwa nini Lissu...
  13. BigTall

    Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  14. Kingsharon92

    Libakiriwe sana tumbo lililomzaa Tundu Lissu

    Nipende kusema nimeona wanaharakati wengi sana waliojaribu kuwa challenge watawala wa nchi hii, nadiriki kusema Tundu Lissu ndiye mpenda haki pekee asiye na bei amepambana sana bila malipo akisimamia haki za wa Tanzania wasiojua haki zao, Niseme mengi ila wazazi wa Lissu mlizaa hatuna deni na...
  15. The Palm Beach

    Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  16. Manyanza

    Jina la Tundu Lissu lapendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov Prize for Freedom of Thought)

    Kundi kubwa na lenye nguvu zaidi ya kisiasa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (The EPP Group) limependekeza jina la Tundu Lissu, kuwania Tuzo ya Sakharov 2026. Tuzo hiyo ya Uhuru wa Kujieleza (kwa Kiingereza: Sakharov Prize for Freedom of Thought) ni heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa...
  17. Manyanza

    Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high coooooourt Majaji wameingia. Mhe. Lissu nae ameingia kama kawaida makofi mengi yanapigwa mengi kwa...
  18. Q

    Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    Wakati sisi tukimfungulia kesi za Uhaini mataifa ya Ulaya yanathamini mchango wake. Kati ya viongozi mashuhuri Duniani waliopata tuzo hii ni pamoja na Nelson Mandela, Malala Yousafzai, Nadia Murad, Denis Mukwege, Aung San Suu Kyi, na Václav Havel. ======= Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  19. instinct desire

    Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  20. lord atkin

    Kutoka AI: Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama Jumuiya ya madola kisa Tundu Lissu

    Nikifahamu kuwa vikao vya Jumuiya ya madola vinaanza kesho nchini Marekani nimemuuliza AI swali kuwa: SWALI: Nini kitaipata Tanzania ikiwa imekaidi maazimio ya Jumuiya ya madola ya kuitaka Tanzania imuachie Tundu Lissu? MAJIBU YA AI: Ikiwa serikali ya Tanzania itakaidi kabisa agizo la...
Back
Top Bottom