Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya.
Wajuzi wanasema andiko hili...
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024 na kueleza kuhusu Tigo kuhusika na tukio lake la kushambuliwa
Simulizi ya Tukio la kushambuliwa kwake
"Ilichukua takribani wiki moja kama siku tisa (tangu Polisi...
https://www.youtube.com/live/SVGXG6yMBgM
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu amezungumza hayo mbele ya wanahabari leo, Jumatano Septemba 25.2024, jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa kikosi cha mauaji dhidi yangu mwaka 2017 alikuwa Paul Makonda. Aliwaongoza wauwaji walionipigia...
Shida siyo content za Lissu alizokuwa anawasiliana na hao watu, shida ni kwa nini wamfanyie "Assassination Attempt" badala ya kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria kama kweli alikuwa anafanya uhaini kwa nchi yake.
Kitendo cha kujaribu kumuua kwa njia za panya inaonesha hakukuwa na dosari yoyote...
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and 2 Pac
Hayo maneno haya yamebabe sababu kubwa sana kwanini hutakiwi kuua au kuombea kifo mtu yeyote...
Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017...
Embu Watanzania wenzangu tuchukue wasaa kujikumbusha mafundisho muhimu sana yaliyopo katika hadithi ya Daudi, Mwana wa Yese. Naweza kuandika volume ya vitabu kuhusu hadithi ya Daudi na mafundisho yake.
Daudi alikuwa mpakwa mafuta ambaye angali bado mdogo alipewa kibali cha kuwaongoza Wana wa...
Maandamano yaliyofanyika leo Tundu Lissu hakuonekana hadharani akiongoza wala kushiriki maandamano. , kuna dalili za mabadiliko ya kipekee katika uongozi wa chama na nguvu za kisiasa ndani ya chama hicho. Kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahusiana na athari hizi, yakiwemo ushawishi wa viongozi...
Mungu aendelee kuwabariki Wazungu, kwa wema wao wa kuhakikisha kwamba hakuna Mlevi wa Madaraka wa kiafrica atakayepumua.
Hatimaye waliokamatwa kwa Mbwembwe ya Doria ya wiki nzima Wanaachiwa bila Masharti yoyote.
Muliro Unajisikiaje, Aibu ya milele ikuandame wewe na kizazi chako chote, Amina...
Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au?
Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
ally hapi
chadema
freeman mbowe
hapi
kuelekea 2025
maandamano
maandamano ya chadema
majeshi
mbowe
miaka
miaka 25
pigo
tundutundulissu
vyama vya upinzani
watu wasiyojulikana
Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli.
Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data.
Kuna utofauti mkubwa...
Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki.
Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa...
Akiongea na BBC Swahili hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hatimaye amezizungumzia tetesi na tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba CHADEMA wana hulka ya kujiteka wenyewe ili wapate huruma ya wananchi.
Kwenye mahojiano hayo, Lissu amegusia sakata la Chacha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze.
Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja.
Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.