Bado haijajulikana sababu hasa ya Amos Makalla kumlilia Tundu Lissu, hasa ikizingatia kwamba hakuna hata mara moja Lissu amemzungumzia Makalla na huenda hata Hamfahamu.
Bali imejulikana kwamba ili kiongozi wa CCM asikilizwe na Jamii ni Lazima amzungumzie kiongozi wa Chadema, Na hasa...
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja kuwa mgawanyiko huo unahusisha pande mbili ambazo zinawaunga mkono kati ya Makamu Mwenyekiti bara...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
amos makalla
ccm
chadema
haki ya kupiga kura
kuelekea uchaguzi 2024
kujiandikisha kupiga kura
kupiga kura
serikali za mitaa
tundulissu
viongozi waandamizi
vyama vya siasa
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo
Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama.
Chanzo cha Habari: habarimpyatv
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Hatua...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam.
Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Kuwa wa kwanza Kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, Amekuwa miongoni mwa Wanakijiji cha Mahambe huko Ikungi waliojitokeza Kuboresha Taarifa zao kwenye Daftari la mpiga kura.
Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe.
Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
Katika mazingira ya Tanzania ambapo kulishatokea matukio ya kigaidi, kama shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na matukio ya vurugu za Kibiti, vyombo vya usalama vya serikali (Intelligence community) vinategemewa kufuatilia mawasiliano ya watu kwa sababu za kiusalama Vyombo...
Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu ina upendo, mshikamano na tuko wamoja pia ni Serikali inayozingatia sheria, taratibu na kanuni ni...
Tangu jana Tundu Lissu amekuwa akiwatuhumu TIGO kuwa walihusika kutoa nyendo zake kwa watu waliotaka kumuua kwa kumpiga risasi. Kwa mujibu wa Lissu Tigo ndiyo walifanikisha watu wasiojulikana kumfuata hadi nyumbani kwake na kumfyatulia risasi 38 na kati ya hizo risasi 16 zilimpata.
Tuhuma hizi...
Kuibuka kwa suala la Tundu Lissu kupigwa risasi siku moja baada ya kuzimwa kwa maandamano ya Chadema kumetajwa kwamba ni sehemu ya njama chafu zinazofanywa na mabeberu na vibaraka wao kuleta machafuko na kuvuruga amani ili nchi isitawalike.
Habari za uchunguzi zinasema, kufunguliwa kwa kesi ya...
Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu? Je, nchi hii ikiparanganyika wao wana nchi nyingine ya kuishi? Imekuwa kawaida vyombo vya habari km...
Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu.
1. Kuna Tume ya ulinzi wa Taarifa binafsi
2. Mtu yeyote atakayebaini kuwa mkusanyaji au mchakataji amekiuka misingi ya ulinzi wa...
Nimemsikiliza Tundu Lissu kwa makini sana!
Nina sympathize naye kwa masaibu aliyopata lakini kwenye hili jambo kakurupuka sana!
Huwezi shinda vita yoyote ya maana bila mkakati wa maana!
(The Art of War by Sun Zu)!
Tundu Lissu angejipa muda kwanza na angefuatilia hiyo case ya Uingereza huku...
Wakati watu wanasema tuogope teknolojia, mimi nasema tuogpe "power of nature. Katika vitu ambavyo hufanya kazi beyond human understanding, basi ni hii power of nature.
Nimeyasema haya baada ya kuisikiliza tena clip ya Mwendazake na ku-refer haya yanayotokea leo hii. Ni vile tu hakutaja jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.